Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 692
- 1,458
Kwel ww ni mbunifu
Mchawi binadamu, paka anatumwa tuUtakuea unaelement ya uchawi
Mbu hawana soko mkuu ninao wengi sana wakianza kutafutwa nishtuettzo kila kitu unaona uchawi kuna Soko zuri tu la bundi natafuta jins ya kuwafuga maana sasa hv wanahela balaa na hyo pia unaweza kufikiri uchawi hpo sijkwambia about popo unaweza kuwa milionea
Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.
Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.
Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.
na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.
Mmmmmh unavuka mipaka sasa Ndugu....bundi tenattzo kila kitu unaona uchawi kuna Soko zuri tu la bundi natafuta jins ya kuwafuga maana sasa hv wanahela balaa na hyo pia unaweza kufikiri uchawi hpo sijkwambia about popo unaweza kuwa milionea
kaka naomba unipe darasa la hao paka wakali kuliko mbwa,sio kweli mkuu paka aina ya mongolean n mlinz wa nyumba km vile mbwa na ni mkali zaid ya mbwa
Hadi Somali cat! sasa hapo si unazalisha magaidi!? Usiweke silaha karibu watawaua wenzao hao!singapura,persian cat na british short hair pia nina sub species nafny na interbleeding mfno nimchukua paka somali cat nmchanganya na black cats kutoka dodoma
mkuu km hawajawh kukuona ukiingia hawa utawakoma hasa ukiwa pek yko bila ya yyte wanayemjua but sijkomfirm kwamba km wanawez kupewa special training lkn hv hv walivyo ni walinzi toshakaka naomba unipe darasa la hao paka wakali kuliko mbwa,
hii ni miongon mwa aina chache sana ya paka ambao wanaanza kupotea duniani aina hii ya paka ni dili kubwa duniani mm nimebaki na only 10 somali catsHadi Somali cat! sasa hapo si unazalisha magaidi!? Usiweke silaha karibu watawaua wenzao hao!
Aiseee! Ila sasa, hawana elements za ugaidi?hii ni miongon mwa aina chache sana ya paka ambao wanaanza kupotea duniani paka ni dili kubwa duniani mm nimebaki na only 10 somali cats