kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Hawa wote walosomwa na CAG ni asilimia 90 mpaka 95 ni wateule wa Magufuli.
Kila ripoti ikitoka hamna kitu bunge linafanya, kwasababu bunge lote ni la chama kimoja ambacho lilitokana na kuiba uchaguzi wa wabunge wa 2020 wa bwana yule akapora ushindi wa wapinzani.
Kungekua na wapinzani bungeni sahzi tungekua tunaongea habari nyingine refer ishu ya escrow nchi ilivyosimama.
Lakini hili bunge la hovyo lililetwa na mwendazake, hawa walofuja hela kulingana na ripoti ya CAG asilimia 90 hadi 95 ni wateule wa mwendazake huyu mtu niliposema hata kama alishakufa ili itachukua miaka mingi sana nchi kurekebishika, sikuwa mjinga nilimaanisha katuharibia sana.
Ndo maana hata bila aibu alikwapua trilioni 1.5 baadae akakwapua tena trilioni 1.8 bila aibu na report zikasema.
Matatizo yote haya chanzo ni Hayati Magufuli na hiyo ndo legacy alotuachia yaani legacy ya wizi na ujambazi.