Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kuna mambo yakusikitika sanainasikitisha sana ! nimewaangalia wale wazee wanaoitwa vigogo nimeishia kuwahurumia tu , bila kuwadaka wahusika halisi itakuwa maigizo tu .
Kila kitu Tanzania ni mazingaombwe unaambiea elimu bure leo unaambiwa ni hiariHIYO Ndio Bongo Ya CCM, Kulindana Tu Kila Kona, Hasa Kwa Vigogo Wenzao!! HADI Kesho NASHANGAA Mno KUSIKIA WATU Waliogawana Mabilion Ya EPA, Kurudisha PESA Hizo Kwa Hiyari Yao Wenyewe, Na Hawatachukuliwa HATUA Kali Za Kisheria!!! TENA Ni Mkuu Wa NCHI Ndiye Anasema Hayo!!!
Hata huyo aliyetajwa nimuhusika soma katikati ya mistari utaelewaUnajua kama hujui kitu bora uulize watu wakupe majibu, kwanza mnajua waziri anahusikaje kwenye hilo sakata , pili wanaosaini mikataba ni nani maana mnaweza kuhangaika na wakina Mwakyembe wakati hutawakuta kwenye document yoyote.
popomaHIYO Ndio Bongo Ya CCM, Kulindana Tu Kila Kona, Hasa Kwa Vigogo Wenzao!! HADI Kesho NASHANGAA Mno KUSIKIA WATU Waliogawana Mabilion Ya EPA, Kurudisha PESA Hizo Kwa Hiyari Yao Wenyewe, Na Hawatachukuliwa HATUA Kali Za Kisheria!!! TENA Ni Mkuu Wa NCHI Ndiye Anasema Hayo!!!
1. Mwakyembe alisema bungeni hakuna Behewa bovu hata moja. leo hawa wanafikishwa mahakamani kwa mabehewa gani?
2. Nani Ana hakika kwamba mabovu ni 25tu Kati ya 275?
3. Nani Ana hakika kwamba hao waliokamatwa ndio peke Yao wahusika? SERIKALI imefanya madudu yenyewe, ikajichunguza yenyewe, na ikajishughulikia yenyewe kwa kuamua nani imtoe kafara au nani imlinde.
4. Hatua hii ni aibu kwa bunge, kwamba lilimfukuza mbunge kwamba kuongea uongo kabla ya kudai ripoti kujua ukweli ni nn?
5. sakata limetokea wakati mwakyembe ni waziri na akaunda kamati lakn bado JK akamwondoa na kumpeleka sitta ambae nae badala ya kutegemea kamati ya mwakyembe akaunda yake ilohusisha PCCB, CAG, AG &PPRA kwann? kwann alitolewa katikati ya sakata? kwann sitta hakuamini kamati ya mwakyembe?
6. kwann ripoti ya mabehewa inaendelea kufichwa? kwann Bunge halitaki ripoti hiyo ili lisimamie serikali? inatoa picha gani kwa bunge la 11?
7. MABEHEWA yalipokewa kwa mbwembwe na Mwakyembe wakati anamtambulisha Pinda. lkn kasoro za mabehewa zinatokana na mambo m akubwa kwamba zabuni yake haikuzingatia viwango, na kampuni ya Hindustan engineering haikufanyiwa uchunguzi kuhusu rekodi na uwezo wake, na zaidi malipo yalifanyika 100% kabla ya mabehewa Kuletwa. Je, makosa yote haya yanahusu mafundi na wakurugenzi tu?
Makosa ya mabehewa inatakiwa waziri wa uchukuzi, katibu mkuu uchukuzi na katibu mkuu fedha wote wafikishwe mahakamani. kwani mlipaji mkuu wa serikali ni katibu mkuu fedha kwann alilipa 100% kinyume cha sheria. kwann mwakyembe ariruhusu MABEHEWA yanunuliwe kabla ya kuona duedeligency report kuhusu kampuni inayopewa zabuni wakati yeye ni waziri na msomi wa sheria. katibu mkuu uchukuzi anawajibika kwa kosa hilo pia na kama mtendaji mkuu wa wizara husika
Jesca KISHOA (MB)
Cheo Dhamana! Tafuta maana ya msemo huo>Unajua kama hujui kitu bora uulize watu wakupe majibu, kwanza mnajua waziri anahusikaje kwenye hilo sakata , pili wanaosaini mikataba ni nani maana mnaweza kuhangaika na wakina Mwakyembe wakati hutawakuta kwenye document yoyote.
mkuu ndio maana Tanesco walikuwa smart kwenye suala la richmond na likamrudia lowassa, walikataa kusaini mkataba na ili yeye asiingie mtegoni lazima angewalazimisha wasaini lakini wakagoma ndio maana akavunja ile tender board ya Tanesco ili aweke watu watakaokubaliana na matakwa yake. na hapo ndio alijiingiza kwenye kitanzi.Cheo Dhamana! Tafuta maana ya msemo huo>