Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Shikamoni wandugu.
Kumekuwa na figisufigisu nyingi sana katika huduma ya chanjo ya homa ya manjano /chanzo ya kimataifa (Yellow Fever Vaccination),hasa gharama ya huduma hii.
Gharama hiyo hapa nchini hutofautiana sehemu na sehemu, kituo na kituo wakati ni huduma hiyohiyo inayoratibiwa na Wizara ya Afya Jinsia na Watoto hapa nchini Tanzania.
Mathalani, ukienda:-
1. Hospital ya Mnazi mmoja ya jijini Dsm, wanatoa hiyo huduma kwa TZS 55,000 (Elfu Hamsini na tano);
2. Holili Mkoani Kilimanjaro TZS 20,000 (Elfu Ishirini);
3. Azam Marines pale Posta - Dsm wanatoza TZS 20,000
4. JN & K International Airports wanatoza 40 USD
Sasa basi, gharama ya huduma hii kwann inadiffer wakati huduma zote zinaratibiwa na Wizara (moja) hiyohiyo?
Ni mradi wa mtu binafsi au nn hapo?
Kama jipu lipo, lipasuliwe.
Mwanza pale naponilifanyiwa figisuhizo kwani nilipay 50 kabla ata cjatoka nikaona mwenzangu anapatiwa hiyo kitu kwa 20 tu nikajua tayarisitaki kukumbuka siku niliyoangaika kuipata, mnazi mmoja wameanza kutoa tena coz walisitisha utoaji, ikawa ni Azam Marines Posta tu ndio wanatoa, tena siku 2 tu kwenye wiki, ukienda alfajiri unachoma jioni
Mnazi mmoja nilipata hiyo service kwa elf kumi tuu hiyo 55,000 unat
tehe tehe tehe poleMwanza pale naponilifanyiwa figisuhizo kwani nilipay 50 kabla ata cjatoka nikaona mwenzangu anapatiwa hiyo kitu kwa 20 tu nikajua tayari
Wabongo wako kazini
Hahahahahalabda wanaweka transportation fee
hata mmazi mmoja walikuwepo unachagua chanjo au kitabu bila chanjoPale Tunduma Ukitaka Kitabu Bila Chanjo Ni F10 Tu Na Chanjo Ni F15 Mpaka F20 Na Ukiwa Zoba Ndo Utapigwa Mpaka F30
ndorobooooooooooooo elfu 10 ilikuwa ni lini?Mnazi mmoja nilipata hiyo service kwa elf kumi tuu hiyo 55,000 unatupiga fix mkuu
ndiyo mkuu kutoka holili kwenda mnazi mmoja duh hii nchi ya maajabuHahahahaha
Transportation fee ya kutoka Holili kupeleka mnazi mmoja hospital au DIA
Yes na mi najua ni elf 5!What?? 55,000/= au nimekosea.. hii si 5,000/= tu? kuna nini cha ziada kama tayari ulishalipia na unayo kadi? Hii ni nini tena??