Mtangoja sanawakati mkiwa mmehamia katika hii record mpya ya LUGUMI huku ufipa mambo si mambo.
Yule Mseminary wetu KATIBU MKUU nae kaanza kuisoma namba, watendaji wamemkaushia kwelikweli. The famous gang (LISU, MNYIKA, Wenje) wana mpuuza kwelikweli.
KWENYE VIJIWE VYETU huku ufipani wanamsema eti hana mvuto kwa wanachama, na hataweza kupambana kama wao walivyopambana kukiweka chama hapo kilipo ingawa walikuwa wanachama wa kawaida tu. Hawa jama hawamkubali kabisaaa
Wanamngoja kwa hamu atakavyofail ili wamsute mwenyekiti. Mwaka huu tutayaona mengi, Ngoja amalize mafunzo tuone .
wakati mkiwa mmehamia katika hii record mpya ya LUGUMI huku ufipa mambo si mambo.
Yule Mseminary wetu KATIBU MKUU nae kaanza kuisoma namba, watendaji wamemkaushia kwelikweli. The famous gang (LISU, MNYIKA, Wenje) wana mpuuza kwelikweli.
KWENYE VIJIWE VYETU huku ufipani wanamsema eti hana mvuto kwa wanachama, na hataweza kupambana kama wao walivyopambana kukiweka chama hapo kilipo ingawa walikuwa wanachama wa kawaida tu. Hawa jama hawamkubali kabisaaa
Wanamngoja kwa hamu atakavyofail ili wamsute mwenyekiti. Mwaka huu tutayaona mengi, Ngoja amalize mafunzo tuone .
Nahisi na vyombo vya habari havimpatii promo, Hivi hata kwenye msiba wa Lissu Karimjee hakuwapo kweli? Enzi za Dr. Lazima angetoka hats akisaini kitabu cha maombolezo, leo tunaona picha za akina Lwakatare?
wanachat
Kijana jifunze kuandika,unachanganya herufi kubwa na ndogo..maneno mengine hayaeleweki....Mashinji amesema..."uropokaji chadema mwisho"...na "siasa za kiharakati na matusi basi"...,Pia kumejitokeza kashfa za rushwa dhidi ya Mwalim na wakuu wa idara kula M.10 kuwapa watu ubunge,Sugu kalalamika na mbunge wa Masasi Cecil kalalamika....kuwa uongozi wa chadema unanuka rushwa...unzungumziaje hayo?Nilimpenda huyu Katibu Mkuu mPya Dr vicent alisema anakuwasumbua kimkakati zaidi !!
Na kwa bsasa kinachotajika ni program so MANENO
uhai wa mwanasiasa ni kutajwatajwa, siasa za upinzani usiporopoka na kukimbizana na ffu umekwisha." Nataka kuupunguza uropokaji CHADEMA"- Dr Mashinji
washamba tu,waliokuwepo hawa hapa wanachat
Acha kuota mkuuu. Nnahis hii ni ndoto ya mchana utangoja sana .wakati mkiwa mmehamia katika hii record mpya ya LUGUMI huku ufipa mambo si mambo.