Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
49,680
39,004
Wanaukumbi

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL.

Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika kudumisha utulivu kusini mwa Lebanon huku kukiwa na mvutano unaoongezeka.
---

1728914161138.jpeg

FRANCE REJECTS NETANYAHU'S CALL TO WITHDRAW UNIFIL FROM LEBANONThe French Foreign Ministry has stated that UNIFIL, the United Nations peacekeeping force in Lebanon, must be allowed to continue its mission, rejecting Netanyahu's request to withdraw UNIFIL forces.

France emphasized the importance of UNIFIL's presence in maintaining stability in southern Lebanon amid rising tensions.

Chanzo: Al Arabiya
UP DATE..

========================
⚡️BREAKING: Emmanuel Macron anamkosoa Benjamin Netanyahu:

“Bwana. Netanyahu asisahau kuwa nchi yake ILIUMBWA KWA UAMUZI WA UN. Asidharau maamuzi yao.”

Matamshi haya yanarejelea hali ya kusini mwa Lebanon, inayoadhimishwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa, ambayo yalisababisha kifo cha wanne kati yao.

- Le Parisien


View: https://x.com/suppressednws/status/1846199323312165321?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Safi sana mtoto akidekezwa hiyo ndiyo faida yake wakati anashambulia UN Gaza France na wenzake walikuwa mstari wa mbele kuwasaidia Israel, leo kashambulia wazungu mnalia lia endeleeni kumpa silaha😀
 
Israel anajulikana miaka na miaka kuwa ni mbaya
Nyerere aliwajua na akawakataa hadharani bila kupepesa macho
Leo tuna viongozi wanaodhani wakisema ukweli Riziki ya Afrika itafungwa na wote tutakufa
Viongozi wanamsujudia mzungu na kumuogopa badala ya Mungu alieumba vyote, Shame
 
Israel anajulikana miaka na miaka kuwa ni mbaya
Nyerere aliwajua na akawakataa hadharani bila kupepesa macho
Leo tuna viongozi wanaodhani wakisema ukweli Riziki ya Afrika itafungwa na wote tutakufa
Viongozi wanamsujudia mzungu na kumuogopa badala ya Mungu alieumba vyote, Shame
Nyerere aliwasapoti palestina halafu wakati wa vita ya Idd amin palestina wakaungana na libya kumuunga mkono ghadafi
 
Hili shetani si liamue tu lemyewe kwani hadi litake na wengine waichukie Israel kusa anataka magaidi yaendelee kuisumbua Israel ambayo imechoka...

Israel anachotakiwa ni kuisaidia jambo la wacatarunya liwe huru tit for tat.. ugaidi ujibiwe kwa ugaidi
Acha ijinga. Amani haitapatikana kama taifa la palestina halitaundwa. Netanyau na nyie wateule muhache kujilisha upepo
 
Back
Top Bottom