Sanaguofficial
Member
- Jul 14, 2021
- 5
- 14
UFAFANUZI WA BAADHI YA KOZI AMBAZO WALIOSOMA TAHASUSI ZA ARTS KAMA HKL/HGL/HGK/WANAWEZA KUZISOMA CHUO KIKUU
UNASOMA CHUO KIKUU ILI KUKUZA UFAHAMU NA KUIMARISHA UWEZO FIKIRISHI WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI YATAKAYORAHISISHA MAISHA.
1. Bachelor Degree in Project
Planning and Management(Hapa unasoma ujuzi wa kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo na kudhibiti matumizi ya fedha za mradi zitumike kiusahihi na mradi uishe kwa wakati sahihi na uwe mradi wenye tija) KUMBUKA HAYO NI MACHACHE KATI YA MAJUKUMU MENGI..
2. Bachelor Degree in Local
Government Administration
and Management(Humu unajifunza utawala au uongozi na Usimamizi wa serikali za mitaa,miji na majiji pamoja na utekelezaji wa sera mbali mbali za maendeleo. Unajifunza pia Usimamizi wa wawatumishi. unaweza kuwa afisa mtendaji kata, katibu tarafa, au afisa ndani ya wizara ya tamisemi (tawala za mikoa na serikali za mitaa).
NB: Hawa maafisa watendaji kata wenye hii degree wanalipwa mshahara wa ngazi ya degree kama kada zingine,sio wale watendaji wazamani tuliozoea wakiwa na elimu za kati. Pia hii kozi ina kaunafuu kwenye ajira sababu haina watu wengi na na imeanza miaka ya karibuni zamani haikuwepo.
3. Bachelor Degree in Business
Planning and Management(Humu unajifunza uendeshaji wa biashara ikiwemo maarifa ya kubuni biashara na jinsi ya kuikuza)
4. Bachelor Degree in Urban Development and Environmental Management
(Humu unajifunza Usimamizi wa mipango miji na mazingira. Ukiona mamlaka za miji zinatenga maeneo ya masoko, barabara,viwanja, maeneo ya shule, mifumo ya ukusanyaji na uzoaji taka etc miongoni mwa wataalamu wanaohusika ni hawa.
4. Bachelor Degree in Regional
Development Planning.(Hii kimajukumu inaendana na hiyo hapo juu isipokuwa haihusiki na mazingira. Unajifunza zaidi uendelezaji wa mamlaka za miji na vigezo vya kuainisha maeneo yakiutawala mfano pawe mji mdogo, jiji,mji,wilaya,mkoa, etc.)
5. Bachelor Degree in Environmental Planning and management
(Unajifunza zaidi Usimamizi wa mazingira)
6. Bachelor Degree in International Relations
and Diplomacy(Unajifunza uhusiano wa kimataifa na diplomasia Yani uhusiano wa nchi na nchi kiuchumi,kibiashara,kisiasa,kiulinzi na hata kiutamaduni). Hii wengi hufanya kwenye ofisi za ubalozi, wizara ya mambo ya nje,idara ya uhamiaji etc.)
7. Bachelor of Social Work
(Unasoma ustawi wa jamii na kuhudumia watu wenye mahitaji maalum kama walemavu,watoto,wanawake na wagonjwa wenye changamoto za kijamii hospitani.)
8. Bachelor of Arts in Marketing and Entrepreneurship
(Unajifunza masoko na ujasiriamali. Unajifunza mbinu za kujenga ushawishi mteja anunue bidhaa au huduma yako na jinsi ya kukuza umaarufu wa bidhaa(branding).
9. Bachelor of Health Systems Management
(Unajifunza uanzishaji na Usimamizi wa mifumo ya utoaji taarifa na uendeshaji wa huduma za afya kwa njia ya computer. Mifumo inayosajili wagonjwa, kubainisha maeneo yenye upungufu wa dawa, idara za hospitali etc)
10. Bachelor of Public Administration in Records and Archives Management
(unajifunza utawala au Usimamizi wa watumishi na utunzaji wa kumbukumbu za ofisi au watumishi kwa mifumo ya computer).
11. Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
(unajifunza Usimamizi wa huduma za usafirishaji mizigo na watu bandarini, anga na nchi kavu)
12. Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management
(Unajifunza manunuzi, utunzaji na usafirishaji bidhaa na vifaa vyote au mali za ofisi. Chochote ofisi au taasisi inachotaka kununua wanaohusika na kununua, kutafuta tenda ni hawa watu wa procurement. Utajifunza pia sheria ya manunuzi ya umma-public procurement act)
13. Bachelor Degree in Marketing and Public Relations
(Unajifunza masoko na mahusiano ya umma)
14. Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics Management
(Unajifunza Usimamizi wa bandarini na usafirishaji na upakuzi wa mizigo bandarini)
15. Bachelor of Arts in Journalism
(Unajifunza uandishi wa habari na utangazaji wa redio na tv)
16. Bachelor of Arts in Mass Communication
(inaendana na hiyo hapo juu)
17. Bachelor of Arts in Sociology
(unajifunza ustawi wa jamii na utatuzi wa migogoro ya familia, kudhibiti unyanyasaji watoto na makundi yanayokandamizwa kisheria.)
18. Bachelor of Rural Development
(unajifunza Usimamizi wa maendeleo ya vijijini na kuimarisha uzalishaji)
19. Bachelor of Gender and Community Development
(unajifunza maendeleo ya jamii na maswala yanayohusu miradi ya kujikwamua ya wanajamii ikiwemo mikopo)
20. Bachelor of Arts in Library and Information Studies
(Unajifunza Usimamizi wa maktaba kisasa na mifumo ya utunzaji kumbukumbu kwa computer)
21. Bachelor of Arts in Political Science and Public Administration
(Unajifunza sayansi ya siasa na utalii).
22. Bachelor of Arts in Public Relations and Advertising
(Unajifunza mahusiano ya umma na uaandaji wa matangazo ya biashara. Hii inashahibiana sana na kozi ya journalism)
23. Bachelor of Arts in Development Studies
(unajifunza sera za maendeleo na Usimamizi wa maendeleo)
24. Bachelor of Arts in Art and Design
(unajifunza sanaa na ubunifu)
25. Bachelor of Arts in Film and Television arts
(unajifunza uaandaji wa filamu na vipindi vya tv)
26. Bachelor of Arts in Fine Arts and Design
(unajifunza sanaa za uchoraji, maigizo na uaandaji wa matamasha ikiwemo ya muziki. Ni kozi inayowafaa zaidi wenye vipaji vya uchoraji,utunzi na uigizaji)