Imekuwa mara kwa mara nikinunua bidhaa napewa receipt ikionesha vat 0%,kwa vile nimeakuwa mzalendo kila ninaponunua bidhaa nipewe risit, naomba kueleshwa je hizi risit ambazo zinaonesha vat 0% je ni sawa? Au ni wizi? Na kama ni halali Tra wanapataje kodi yao?
Mfano leo nimeweka mafuta kwenye petrol station flani nikapewa risit hii..
View attachment 347244