UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Hakutokuwa na card,goal litapatikana 1st half na ndio litakalokuwa la ushindi,real madrid
mkuu unataka kuniambia pepe na ramos kati yao hakuna mwenye card hata ya njano kwa game ya leo? kumbuka game ya leo ni derby mkuu!!
 
....Atletico wanastahili kuchukua hilo kombe,wamefika fainali kwa uwezo,kumtoa Barca then Bayern!, ni tofauti sn na walio mtoa Wolfsburg then Mancity tena kwa difference ya goli moja!!

...Today it will be:
Galacticos vs Team work...
and always a team work should prevail!

Na hata km wakienda penalties, nikikumbuka Atletico alivyomtoa PSV kwa mikwaju 9-8, hawa jamaa nawaaminia,na Jan Oblak golini! wapo kamili kila idara!
 
Back
Top Bottom