Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,123
hahahahaUDSM nacho ni cha kujivunia?
Like....seriously?
I mean....really?
ngoja wenyewe waje, na wanavyokihusudu.
povu lake si la nchi hii.
hahahahaUDSM nacho ni cha kujivunia?
Like....seriously?
I mean....really?
Language is not a knowledgebasi hapo kutakuwa na shida aisee.
yaani chuo ambacho undergraduate anajiunga akiwa hajui lugha na mpaka ana graduate PhD akiwa bado hajajua lugha ndo kinakuwa chuo cha kwanza kwa ubora nchini?
basi hapo kutakuwa na shida aisee.
yaani chuo ambacho undergraduate anajiunga akiwa hajui lugha na mpaka ana graduate PhD akiwa bado hajajua lugha ndo kinakuwa chuo cha kwanza kwa ubora nchini?
unajifunza vipi kama hujuwi lugha itumikayo?Language is not a knowledge
Sikutarajia JF Expert member kuto comment hii, unaonesha ubutu na unyonge hapaMkataa kwao mtumwa
hiyo research unaiandika kwa lugha gani?Nakushangaa unaposema wanaoenda udsm hawajui lugha kwani wanafunzi wa udsm pekee ndo wanatoka shule za kata ?hivyo vyuo vingine wanatoka seminari wote, ( unachotakiwa kujua chuo hubebwa na research na siyo kujua kingereza koz kingereza ni lugha tu kama lugha zingine)
Shida siyo kutoa povu , cha msingi leta hoja na vigezo kuwa chuo fulani Tz ni bora kuliko udsmhiyo research unaiandika kwa lugha gani?
halafu ndio haya maresearch yenu ya kukwiba na kupachika?
hizo research ni zipi hasa ? yani inawezekana vipi mtu aliyetoka "kimpunguwa secondary school" akaandika research?
research?????
lawwwd have mercy.
ni lecturer gani alikufunza namna ya kubandika hizo Articles?Language is not a knowledge
ni sawa na kupima urefu wa vijelele wawili ; mwenye raba na mwenye high heels.Shida siyo kutoa povu , cha msingi leta hoja na vigezo kuwa chuo fulani Tz ni bora kuliko udsm
Vanderbilt University kawaida sana. Sasa wale wa Harvard na MIT wasemaje? Vandy ni chuo cha kata huko USAKama UDSM ni ya kujivunia Vandy ndo itakuwaje sasa?
Bila shaka mwanao yuko 'English Medium' bin 'International school' uchwara. Milion za ada zinakutoka, wewe unadhani mwanao ndo anajifunza vizuri.basi hapo kutakuwa na shida aisee.
yaani chuo ambacho undergraduate anajiunga akiwa hajui lugha na mpaka ana graduate PhD akiwa bado hajajua lugha ndo kinakuwa chuo cha kwanza kwa ubora nchini?
Kuna Editors. Kazi yako ikikubaliwa kuwa ina ubora wa kitafiti na ina mchango kitaaluma, basi hatua inayofuata ni kupeleka kwa mtaalam wa Kiingereza-hii hata wale ambao Kiingereza ni lugha yao ya kwanza wanafanya. Acha kupotosha. Ingekuwa lugha ni kikwazo katika kuchapisha, waChina na South Koreans wasingeandika paper.hiyo research unaiandika kwa lugha gani?
halafu ndio haya maresearch yenu ya kukwiba na kupachika?
hizo research ni zipi hasa ? yani inawezekana vipi mtu aliyetoka "kimpunguwa secondary school" akaandika research?
research?????
lawwwd have mercy.
Kwa mujibu wa utafiti wa lugha, ukiondoka Tanzania ukiwa na miaka zaidi ya mitano ukaenda kuishi UK/USA, hutaweza kuongea kiingereza kwa ufasaha sawa sawa na mtu aliyekulia UK/USA. Kwahiyo kujifunza lugha, kuna factor ya umri pia. Japo wewe unajiona unajua lugha kuliko wale wa magogoni, kiukweli wewe ni chongo katika nchi ya vipofu.unajifunza vipi kama hujuwi lugha itumikayo?
i mean, will you be like a Goddamn computerized robbot una-detect, na ku-digest, na kutafsiri unayoyasoma na kuyafundishwa?
Kuna Editors. Kazi yako ikikubaliwa kuwa ina ubora wa kitafiti na ina mchango kitaaluma, basi hatua inayofuata ni kupeleka kwa mtaalam wa Kiingereza-hii hata wale ambao Kiingereza ni lugha yao ya kwanza wanafanya. Acha kupotosha. Ingekuwa lugha ni kikwazo katika kuchapisha, waChina na South Koreans wasingeandika paper.
kama hauijui lugha itumikayo, unajifunza vipi?Kwa mujibu wa utafiti wa lugha, ukiondoka Tanzania ukiwa na miaka zaidi ya mitano ukaenda kuishi UK/USA, hutaweza kuongea kiingereza kwa ufasaha sawa sawa na mtu aliyekulia UK/USA. Kwahiyo kujifunza lugha, kuna factor ya umri pia. Japo wewe unajiona unajua lugha kuliko wale wa magogoni, kiukweli wewe ni chongo katika nchi ya vipofu.
Kabla hujaanza kuamini unajua lugha, jiulize je ni lugha yako ya kwanza, pili au tatu? Mtu wa lugha ya tatu hawezi kuongea kwa ufasaha kama mtu wa lugha ya kwanza au ya pili, hata asome uchi!
Je wakati wa kujiunga chuo ulikuwa na sifa za kuchaguliwa UDSM? Kama jibu ni ndiyo, basi kuwa na amani. La sivyo you become a sore looser when you hate what you can't get.
sawa bwana.
ila next time usijashaue na hiyo UDSM utachekwa mno.
jivunie udsm ukiwa katoro na wavuta shisher wenzako.
Language proficiency ina levels. Hata anayejua Chemistry, anajua kwa kiwango fulani-sio Chemistry yote. Ulaya kuna machizi na wasiokwenda shule wanaojua 'sana' hicho kiingereza mnachokiabudu. Haimaanishi wana akili kuliko wewe.kama hauijui lugha itumikayo, unajifunza vipi?