MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
nadhani itakuwa ndio mwisho wa kuweka vocha,tutakuwa tunapiga bureMimi sio mwana sayansi,je wakirusha kutakuwa na impact gani kwa watanzania?
Chanzo mkuu ????Chuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa kurusha satellite ya kwanza Afrika Mashariki, ifikapo mwaka 2023.
Mkuu wa mradi huo ndugu Magaka amedai Kituo maalum cha mambo ya anga cha Mfaume Kawawa Space Centre (MKSC) ambacho kipo katika hatua za mwanzo kabisa za ujenzi kinaendelea kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwa tayari hapo mwaka 2023.
Baada ya kurushwa kwa satellite ya kwanza hapo mwaka 2023, kutakakuwa na mpango wa kurusha satellite nyingine kila baada ya miaka mitatu mitatu huku nyingine zikirushwa mwaka 2026,2029,2032 na mwaka 2035.
Hii ni baadhi ya miradi ambayo chuo kikuu cha Dar es Salaam kinafanya ili kuendelea kuwa chemchem ya maarifa Afrika na dunia kwa ujumla huku nyingine ikiwa ni mpango wake wa kusambaza nguvu za jua kwa watanzania milioni 15 hapo mwaka 2030.
Kila la kheri UDSM
Mimi sio mwana sayansi,je wakirusha kutakuwa na impact gani kwa watanzania?
nadhani itakuwa ndio mwisho wa kuweka vocha,tutakuwa tunapiga bure
kama kurusha setilaite ni kama kurusha puto sawa kweli tunaweza lakin kama setilate hizi za kurusha kwa rocket na miindombinu mingineChuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa kurusha satellite ya kwanza Afrika Mashariki, ifikapo mwaka 2023.
Mkuu wa mradi huo ndugu Magaka amedai Kituo maalum cha mambo ya anga cha Mfaume Kawawa Space Centre (MKSC) ambacho kipo katika hatua za mwanzo kabisa za ujenzi kinaendelea kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwa tayari hapo mwaka 2023.
Baada ya kurushwa kwa satellite ya kwanza hapo mwaka 2023, kutakakuwa na mpango wa kurusha satellite nyingine kila baada ya miaka mitatu mitatu huku nyingine zikirushwa mwaka 2026,2029,2032 na mwaka 2035.
Hii ni baadhi ya miradi ambayo chuo kikuu cha Dar es Salaam kinafanya ili kuendelea kuwa chemchem ya maarifa Afrika na dunia kwa ujumla huku nyingine ikiwa ni mpango wake wa kusambaza nguvu za jua kwa watanzania milioni 15 hapo mwaka 2030.
Kila la kheri UDSM
Dili siku hiziiii?ni mawazo mazuri! ila tu wasitumie hii plan kupiga hela.... maana Tanzania yetu kila kitu ni dili
Wewe Na huyo mwenzio ulomjibu, yani mnafanana Na Bwakila yule WA E FM.nadhani itakuwa ndio mwisho wa kuweka vocha,tutakuwa tunapiga bure
Haiwezakani ... bado sana.hata ulaya sio nchi zote zina hio kitu.wenyewe wameunganakama kurusha setilaite ni kama kurusha puto sawa kweli tunaweza lakin kama setilate hizi za kurusha kwa rocket na miindombinu mingine
mm... sipo