Udhalilishaji wa kijinsia Ukaguzi Airport (JNIA, Mbeya na Mwanza)

Katika hali ya kushangaza kwenye viwanja vya ndege tajwa (JNIA, Mbeya na Mwanza) ukaguzi kwa abiria wa jinsia zote unafanywa na wanaume. Wanawake wanadhalilika sana kwa kutomaswa na vijana wa kiume hapo Airport. Tena baada ya ukaguzi vijana hao huenda kujisifia na wenzao jinsi abiria alivyojaliwa maumbile makubwa.

NB : Tafadhali uongozi TAA chukueni hatua, Kuondoka udhalilishaji huu.
Sio kweli wakaguzi wakike mbona wapo juzi nmeona mdada akikaguliwa uwanja wa mwanza.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari ya juzi unaileta leo? Mimi nikafikiri umefuatilia CCTV footage ya wiki nzima
nazungumza nilichowahi kuona na siku zote sijawai ona kitu cha namna hiyo labda kama ni miaka ya nyuma. Ebu ww weka iyo footage ya mwanamke akikaguliwa na mwanamke.
 
Katika hali ya kushangaza kwenye viwanja vya ndege tajwa (JNIA, Mbeya na Mwanza) ukaguzi kwa abiria wa jinsia zote unafanywa na wanaume. Wanawake wanadhalilika sana kwa kutomaswa na vijana wa kiume hapo Airport. Tena baada ya ukaguzi vijana hao huenda kujisifia na wenzao jinsi abiria alivyojaliwa maumbile makubwa.

NB : Tafadhali uongozi TAA chukueni hatua, Kuondoka udhalilishaji huu.
Still soft FAM.. Grow hard then you will see it normal
 
Natamani ukaguzi huu uongezwe. Wapewe ruksa kuzama zaidi. Kwa sababu, maadili yamekwisha. Hakuna tena mwenye hofu. Unayemuona mheshimiwa ndiye asiye heshimika kabisa.
Ukijua kuwa utanyanyasika pale utahakiki kuwa umejiandaa vyema. Simuangalii mamangu namuangalia yule mhalifu atakae kamatwa
 
Katika hali ya kushangaza kwenye viwanja vya ndege tajwa (JNIA, Mbeya na Mwanza) ukaguzi kwa abiria wa jinsia zote unafanywa na wanaume. Wanawake wanadhalilika sana kwa kutomaswa na vijana wa kiume hapo Airport. Tena baada ya ukaguzi vijana hao huenda kujisifia na wenzao jinsi abiria alivyojaliwa maumbile makubwa.

NB : Tafadhali uongozi TAA chukueni hatua, Kuondoka udhalilishaji huu.
Hiyo ni Uganda usiwazingue watu bwana!!!
 
Katika hali ya kushangaza kwenye viwanja vya ndege tajwa (JNIA, Mbeya na Mwanza) ukaguzi kwa abiria wa jinsia zote unafanywa na wanaume. Wanawake wanadhalilika sana kwa kutomaswa na vijana wa kiume hapo Airport. Tena baada ya ukaguzi vijana hao huenda kujisifia na wenzao jinsi abiria alivyojaliwa maumbile makubwa.

NB : Tafadhali uongozi TAA chukueni hatua, Kuondoka udhalilishaji huu.
Naona wao wanafurahia ujinga na inabidi hivi vitendo vilaaniwe
 
Back
Top Bottom