UDART: Huu ni wizi direct.

Yote anaivizia 50 yako tu akudhulumu

Ova
HALAFU PALE KIMARA WANAPOUZA KADI,KUNA TATIZO..UNAPANGA FOLENI WEEEE,UKIFIKA DIRISHANI ETI YULE DADA ANAKUREMBULIA ''KADI ZIMEISHA''........
HIVI WANASHINDWA KUWEKA TANGAZO KWAMBA KADI ZIMEISHA ILI WATU WAOKOE MUDA???????:(
:(
 
Ni biashara nzuri kwao. Mhudumu mmoja "akiachiwa" 50 na watu 500 tu daily, kwa siku 20 za kazi anakula laki 5 yake swaaaafi tax-free. Poleni sana. Kawa wameshindwa kudeal na hii issue, ni bora wapunguze nauli kwa 50 na si kuongeza
 
Wé unaona sawa kuibiwa hyo 50

Ova
mbona kwenye taxi unatoa alfu 20 na hulalamiki? andaa chenji kabisa ili uache manung'uniko. au waandikie barua wapandishe pasiwepo na tofauti ya 50
 
We jamaa hivi una matatizo gani???
Kulikua na ulazima wa kuniquote na kuandika huo ujinga ulioandika? Au unasikia raha tu ukiquote watu bila na kua na hoja ya msingi? Haya kakoje ulale maana nimeshakujibu! Kia.zi we.we!
 
halafu siku hiizi imefikia hatua hata hawaulizi kama una unahamsini ili wakupe mia. wanakata tu juu kwa juu
Na wauzaji tiketi wanahesabu tu watu... kwa siku akiwapata watu mia ana 5,000/-. Kwa hiyo inawezekana wakusanyaji hawazifikishi UDART hizo hamsini hamsini...
 
Bora mwendokasi 50; huko kwenye mabar kuna ka ugonjwa ka kukosekana 500;
Nilitaka kusema the same, juzi tu nilikuwa riverside pale jamaa ananijibu eti "samahani sina 500", nilimtolea uvivu hatanisahau.
 
Nilitaka kusema the same, juzi tu nilikuwa riverside pale jamaa ananijibu eti "samahani sina 500", nilimtolea uvivu hatanisahau.
Mkuu hii kitu imeshageuka utaratibu wao, 500 hazipo huko bar!
 
Nilitaka kusema the same, juzi tu nilikuwa riverside pale jamaa ananijibu eti "samahani sina 500", nilimtolea uvivu hatanisahau.

Ni mara mia umuachie bar maid shilingi 500, ambae halipwi zaidi ya alfu 70 kwa mwezi na probably ni single mother wa 4 kids kuliko yale mabishoo na masister du uchwara ya mwendokasi.
 
Mimi huwa nahakikisha nina shilingi hamsini mfukoni,ndo maana hawataki kuleta smart cards ili watupige hizo shilingi 50
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom