MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Wacha umbumbumbuTanzania ni nchi za maajabu sana!
Ukisoma kwenye baadhi ya mitandao unaweza kudhani nchi iko mbioni kufirisika!
Ukiwatafuta baadhi ya wanasiasa wanakuambia uchumi unaanguka.
Ukiwatafuta wachumi wanakuambia uchumi unaimarika.
Ukienda kwa wafanyabiashara makini kama Barclays ambao biashara zao zinategemea sana uchumi wa mtu mmoja mmoja nchini wanakuambia mazingira ya uchumi nchini ni mazuri ndio sababu wanaendelea kufungua matawi ya benki katika sehemu mbali mbali hapa nchini.
Nani anayesema ukweli?
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed (katikati), Afisa Usambazaji wa Barclays Africa Group Limited, Vimal Kumar (kulia) na Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la kisasa la benki hiyo lililopo katika jengo la Alpha House kando ya Barabara ya New Bagamoyo, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Barclays wakiongozwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather (kushoto), wakiwa na baadhi ya wateja na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi hilo uliofanyika tarehe 19 Desemba 2016.
The new branch is located at Alpha House on Ali Hassan Mwinyi Road. The bank said it will remain in the country following confidence in the growth and direction of Tanzania's economy.
Tanzanian business is the strongest Barclays franchise in Africa, the bank said in a statement yesterday. "Barclays is fully committed to serving the Tanzania's market. As you may have seen in the past two weeks.
With the opening of the new branch means we can leverage on the social and economic development in Dar es salaam region and beyond," said the bank's Managing Director Abdi Mohamed
Mafisadi wapi...??wale waliohonga nyumba za serikali kwa mahawara zao??Uchumi unafilisika ufipa, badala ya kufanya kazi, wako bize kulea na kusafisha mafisadi
Kwani Baclay kufunga matawi ndiyo kuanguka uchumi? Ni ujinga takataka.
Muulize mtu sahihi upate jibu sahihi.Wewe ukiumwa unamwendea mwanasiasa badala ya daktari ? Habari ya uchumi pata kwa mtaalamu wa uchumi. Usitegemee vilaza wa kwenye mitandao !Tanzania ni nchi za maajabu sana!
Ukisoma kwenye baadhi ya mitandao unaweza kudhani nchi iko mbioni kufirisika!
Ukiwatafuta baadhi ya wanasiasa wanakuambia uchumi unaanguka.
Ukiwatafuta wachumi wanakuambia uchumi unaimarika.
Ukienda kwa wafanyabiashara makini kama Barclays ambao biashara zao zinategemea sana uchumi wa mtu mmoja mmoja nchini wanakuambia mazingira ya uchumi nchini ni mazuri ndio sababu wanaendelea kufungua matawi ya benki katika sehemu mbali mbali hapa nchini.
Nani anayesema ukweli?
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed (katikati), Afisa Usambazaji wa Barclays Africa Group Limited, Vimal Kumar (kulia) na Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la kisasa la benki hiyo lililopo katika jengo la Alpha House kando ya Barabara ya New Bagamoyo, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Barclays wakiongozwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather (kushoto), wakiwa na baadhi ya wateja na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi hilo uliofanyika tarehe 19 Desemba 2016.
The new branch is located at Alpha House on Ali Hassan Mwinyi Road. The bank said it will remain in the country following confidence in the growth and direction of Tanzania's economy.
Tanzanian business is the strongest Barclays franchise in Africa, the bank said in a statement yesterday. "Barclays is fully committed to serving the Tanzania's market. As you may have seen in the past two weeks.
With the opening of the new branch means we can leverage on the social and economic development in Dar es salaam region and beyond," said the bank's Managing Director Abdi Mohamed
Hoja maana yake nini, "idiot"