Uchoyo na ubinafsi uliopitiliza

Wanaume wengi washaishiwa nguvu za kiume,ndio maana wanakua hawana hamu,au Ana michepuko nje akipiga magoli akirudi home hamu haipo,
Hapana...ni kwamba sasahv michepuko inaloga sana waume za watu na kuikamata. Sio kwny hamu ya tendo la ndoa tu bali hata kuhamishia na pesa zote mchepukoni.
 
hivi kweli ndoa ndo zimefikia huku jaman? khaaa mbona inavunja moyo kuingia..hapo ubinafsi umeonekana kwenye jambo la kawaida kama hilo vipi kuhusu kuwajibika kuhudumia mahitaji ya familia kama chakula..elimu nk?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom