habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
komenti zenu zinachekesha sana aiseeee,
huenda yy ndio mwenyekiti wa hizo kamati za ufundi
huenda yy ndio mwenyekiti wa hizo kamati za ufundi
Kumsaidia mtu kama huyu si kuacha kusoma mada zake bali kufanya kama technically alivyosema na kumpeleka kwa waganga hospitalini
Siyo kama wa huyu binamu yako.hata hivyo ukichaa ni relative...kila mtu ana element za ukichaa..hata wewe hapo
Hhahahahaha...hapana ubinamu na huyu mtu siutaki aiseeeSiyo kama wa huyu binamu yako.
Kama mwanasheria,Mkuu Deogratius Kisandu, mimi ni Mwanasheria. Lakini, sitakuwa tayari kukutetea kwa kesi ya uchochezi unayojitafutia. Una ushahidi wowote juu ya jambo unalolizungumzia na kuitaja Serikali? Chunga sana mkuu!
Labda anaongelea serikali ya kijiji chake,mtaa wake,Mkuu Deogratius Kisandu, mimi ni Mwanasheria. Lakini, sitakuwa tayari kukutetea kwa kesi ya uchochezi unayojitafutia. Una ushahidi wowote juu ya jambo unalolizungumzia na kuitaja Serikali? Chunga sana mkuu!
duh! kweli hajataja ya nchi gani...Kama mwanasheria,
Kisandu kaitaja serikali ya nchi gani? Somalia,kenya,Tunisia au?
Jamaa mjanja sanaduh! kweli hajataja ya nchi gani...
Ha ha ha jamaa kila kukicha analeta uzi unaofanana na mtu ambaye anatakiwa kupelekwa dodomaHhahahahaha...hapana ubinamu na huyu mtu siutaki aiseee
Nani huyo?Huyu bwana ana tatizo mojawapo kati ya matatizo mengi ya akili (si lazima kiwe kichaa).
Heri wewe umemsoma vyema,wengi hapa wamemshambulia bila ya kumuelewa.,smtms sielewi ma'gt' wetu.Teh..teh mueleweni Kisandu kwani jana hamkusikia mtoto wa yule aliyekuwa anampa ulinzi wa majini JK akitafuta ujiko kwa Magu
Amerithi majini ya baba yake na sasa anazungumzia uzuri wa Magu.sijui katumwa?