Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
So she must quit the public officeKwa mujibuwa Waraka wa elimu namba 5 wa 2014 Waziri ndiye anayetoa ithibati.
Na ukute hilo tatizo limegunduliwa na shule za watu binafsi maana huko serikalini kuna madudu mengi sanaOooh haleluya
ndio ukweliNa ukute hilo tatizo limegunduliwa na shule za watu binafsi maana huko serikalini kuna madudu mengi sana
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Joyce Ndalichako amesema hawezi kuomba msamaha kwa vitabu kukosewa ila atawawajibisha waliokosewa, na hapo akawasimamisha mara moja kaimu mkurugenzi wa taasisi ya elimu na kaimu kamishna wa elimu kufuatia uchapishaji na usambazaji wa vitabu vyenye makosa
Ndalichako amesema alipokea taarifa kuhusu vitabu na kitabu cha darasa la 3 cha kiingereza watu waliondika ni aibu na kama watu zaidi ya 9,000 wameondoka kwa kughushi vyeti na hao pia itabidi waondoke
Mm napata mashaka sana na elimu yake huyu mama.Huyu anatakiwa akimaliza tu kuwawajibisha hao wakurugenzi na yeye awajibishwe
Hapa Ndalichako namvua vyeo vyote!! Sheria hiyo hapo juu inasema yeye ndiye atakaye idhinisha matumizi ya vitabu vinavyotungwa na kuhakikiwa na TIE, sasa unawezaje kuidhinisha kitu ambacho hujakipitia kujiridhisha na ubora wake!! Hapa housegirl kapika, kaandaa meza na kufunika hotpot mezani halafu mama kamkaribisha mmewe chakula kwa mbwe mbwe zote bila kujiridhisha na chakula kilichotengwa mezani, hotpot zilipofunuliwa kilichokutwa ni aibu tupu kwani tayari housegirl alishapanga kumkomoa mke wa Boss kwa uzembe wa kutomjali mmewe! Nani alaumiwe: Mke wa Boss au Housgirl!?