Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,717
- 239,321
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.
Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na ambako mtiti wake si mdogo ni Kusini, Mashariki, Kaskazini, Kati, Pemba na Unguja
Bali Tunachojiuliza ni hiki, Kitendo cha Chaguzi hizi za Chadema Kuteka mijadala ya Nchi, kiasi cha kupuuzwa kwa Bunge la Bajeti na kupuuzwa kwa Ziara za Wakubwa nje ya Nchi maana yake nini?