Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

Kama hao wanaojua sheria wanaweza kupangiwa wakuchagua...mwananchi wa kawaida cjui atafanywa nin 2020
 
wanasheria ni wasomi na waelewa sana hata kama watspewa maagizo lakini wajue hicho ni chama chao kwani ipo cku atatumbuliwa atakosa uongozi imara wa kutetea maswala yake wao wawe makini kwa hayo maelekezo watakuja juta!
 
Bashite wino wote huu wa bundle unaumalizia kwa kutoa puvu hivi?

Kwanini hela yako ya bundle usingetumia kusoma vitabu online vikakusaidia kupanua uelewa wako wa mambo.
 
Huu ni ujinga ulio pitiliza.
Jinsi wanavyo tunga sheria mbovu name kupitisha mijadala y'all hovyo Kwan party cocos sass wana ingilia nataasisi binafsi???
Kama mawakili man akili angalieni hilo Kwan jicho LA tatu

Hii serikali y'all Ccm haina malengo mema name hili Taifa. It's a total shame..
 
Bashite wino wote huu wa bundle unaumalizia kwa kutoa puvu hivi?

Kwanini hela yako ya bundle usingetumia kusoma vitabu online vikakusaidia kupanua uelewa wako wa mambo.
Kwanini wewe usitumie bundle lako kumpakulia materia mwenyekit aweze kudesa ili walau aweze hata kuhitimu kwa ngazi ya cheti cha awali masomo yake ya "basic certificate in Ufipa movement & Nyumbu dvp" kutoka chuo cha Bilcanas.
 

jibu

Aliefadhili=Magufuli na mwakiembe
mtoa hoja =Wasonga hahaha
 
Mkuu kwa povu hilo usikute kweli
 
watapigwa mikwala na lazma figisu figisu ziwepo tu, kisa mtu 1 tu, hili linchi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…