Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,858
Asante Mkuuumetoa tathimini ya kisomi zaidi...!!
Mkuu,punguza ukali wa manenoNi mwendawazimu pekee atakayeamini chama cha serikali kimeshinda kihalali.
Period
Unapingana na Tundu Lisu??Katika hali ya kupigwa marufuku mikutano ya kisaasa nchini, kuonekana na kuimarika kwa mhimili wa Serikali katka uendeshaji wa dola na uwepo wa mfumo ule ule wa uchaguzi, uchaguzi wa marudio wa Ubunge, Udiwani, na Serikali za Mitaa haukuwa kipimo cha kukubalika au kutokukubalika kwa Serikali ya Rais Magufuli.
Siasa ni kama biashara katika kutegemea matangazo na kusikika kila wakati. Wakati biashara ikitegemea matangazo runingani na magazetini, siasa hutegemea matangazo yake kwa njia ya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali za nchi. Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa huzalisha wanachama na wafuasi.
Kimsingi, mikutano ya hadhara ya kisiasa hubadili mtazamo wa watu na kuwafanya wabadili vyama na hata kujiunga na vyama vya siasa. Kutokuwepo kwake kunafanya kila chama cha siasa kibaki na wanachama wale wale na hata wengine kuwa wanachama 'wafu' kwakuwa vyama vyao havisikiki. Mikutano ya hadhara ya vyama vya kisiasa, kama ikiratibiwa vizuri, ni ya kujenga demokrasia, umoja na mshikamano.
Mkutano ya hadhara ya vyama vya siasa isipokuwepo, vyama vya siasa hufifia na vingine kufa kabisa. Sambamba na hilo, wananchi wanapoteza ladha ya kufuatilia siasa na kuwafamnya kutoshiriki ipasavyo katika mambo ya kiuchaguzi na kadhalika. Ndiyo maana, kila wakati idadi ya wanaojiandikisha kupiga kura na wale wanaopiga kura huzidi kuporomoka.
Kwasasa, washindi wa Ubunge, Udiwani na Serikali za Mitaa huchaguliwa na asilimia ndogo ya wananchi wao. Viongozi wa aina hii hawana baraka za walio wengi. Viongozi hawa hupata wakati mgumu katika kupanga na kutekeleza mambo ya kimaendeleo na wananchi wao. Kuna haja kuwa na siasa hai na si mfu kama ya sasa.
Iko wazi kuwa uchaguzi mdogo uliofanyika Jumapili iliyopita si kipimo cha kukubalika kwa sera na uongozi wa Rais Magufuli wala kutokukubalika kwake. Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina kazi ya kufanya katika kuwaelimisha watanzania umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura.
Yeye ni nani kwangu hadi nisipingane naye? Kama alisema tofauti nami, yalikuwa mawazo yake.Hebu jadili hoja yangu. Usiingize porojo zako na propagandaUnapingana na Tundu Lisu??
Akina nani tuendelee kujifariji? Usidhani wanaJF wote ni CCM,CHADEMA, CUF, NCCR, NLD, ACT na vyama vingine. Wengine hatuna hata chama kimoja, ni watanzania wa kawaida tu. Tuna mawazo huru wakati woteBrother, unataka kukubalika kupi zaidi ya kupata ushindi? Endeleeni kujifariji. Sisi tunasonga mbele
Mkuu salamu kwanza.Katika hali ya kupigwa marufuku mikutano ya kisaasa nchini, kuonekana na kuimarika kwa mhimili wa Serikali katka uendeshaji wa dola na uwepo wa mfumo ule ule wa uchaguzi, uchaguzi wa marudio wa Ubunge, Udiwani, na Serikali za Mitaa haukuwa kipimo cha kukubalika au kutokukubalika kwa Serikali ya Rais Magufuli.
Siasa ni kama biashara katika kutegemea matangazo na kusikika kila wakati. Wakati biashara ikitegemea matangazo runingani na magazetini, siasa hutegemea matangazo yake kwa njia ya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali za nchi. Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa huzalisha wanachama na wafuasi.
Kimsingi, mikutano ya hadhara ya kisiasa hubadili mtazamo wa watu na kuwafanya wabadili vyama na hata kujiunga na vyama vya siasa. Kutokuwepo kwake kunafanya kila chama cha siasa kibaki na wanachama wale wale na hata wengine kuwa wanachama 'wafu' kwakuwa vyama vyao havisikiki. Mikutano ya hadhara ya vyama vya kisiasa, kama ikiratibiwa vizuri, ni ya kujenga demokrasia, umoja na mshikamano.
Mkutano ya hadhara ya vyama vya siasa isipokuwepo, vyama vya siasa hufifia na vingine kufa kabisa. Sambamba na hilo, wananchi wanapoteza ladha ya kufuatilia siasa na kuwafamnya kutoshiriki ipasavyo katika mambo ya kiuchaguzi na kadhalika. Ndiyo maana, kila wakati idadi ya wanaojiandikisha kupiga kura na wale wanaopiga kura huzidi kuporomoka.
Kwasasa, washindi wa Ubunge, Udiwani na Serikali za Mitaa huchaguliwa na asilimia ndogo ya wananchi wao. Viongozi wa aina hii hawana baraka za walio wengi. Viongozi hawa hupata wakati mgumu katika kupanga na kutekeleza mambo ya kimaendeleo na wananchi wao. Kuna haja kuwa na siasa hai na si mfu kama ya sasa.
Iko wazi kuwa uchaguzi mdogo uliofanyika Jumapili iliyopita si kipimo cha kukubalika kwa sera na uongozi wa Rais Magufuli wala kutokukubalika kwake. Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina kazi ya kufanya katika kuwaelimisha watanzania umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura.
Sio apunguze ndio ukweli wenyewe huo,Mkuu,punguza ukali wa maneno
Hii ni comment yangu ya siku. Umenisisimua na kujiona niko Mtanzania huru, nisiyefungamana na chochote zaidi ya Utaifa!Akina nani tuendelee kujifariji? Usidhani wanaJF wote ni CCM,CHADEMA, CUF, NCCR, NLD, ACT na vyama vingine. Wengine hatuna hata chama kimoja, ni watanzania wa kawaida tu. Tuna mawazo huru wakati wote
Ukali uko wapi?Hukusikia hadi marehemu walipiga kura?Mkuu,punguza ukali wa maneno
Asante mkuu.Sio apunguze ndio ukweli wenyewe huo,
Hahahahahaaaaa! Maskini! Leo naona umeikataa CHADEMA yakoAkina nani tuendelee kujifariji? Usidhani wanaJF wote ni CCM,CHADEMA, CUF, NCCR, NLD, ACT na vyama vingine. Wengine hatuna hata chama kimoja, ni watanzania wa kawaida tu. Tuna mawazo huru wakati wote
Katika hali ya kupigwa marufuku mikutano ya kisaasa nchini, kuonekana na kuimarika kwa mhimili wa Serikali katka uendeshaji wa dola na uwepo wa mfumo ule ule wa uchaguzi, uchaguzi wa marudio wa Ubunge, Udiwani, na Serikali za Mitaa haukuwa kipimo cha kukubalika au kutokukubalika kwa Serikali ya Rais Magufuli.
Siasa ni kama biashara katika kutegemea matangazo na kusikika kila wakati. Wakati biashara ikitegemea matangazo runingani na magazetini, siasa hutegemea matangazo yake kwa njia ya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali za nchi. Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa huzalisha wanachama na wafuasi.
Kimsingi, mikutano ya hadhara ya kisiasa hubadili mtazamo wa watu na kuwafanya wabadili vyama na hata kujiunga na vyama vya siasa. Kutokuwepo kwake kunafanya kila chama cha siasa kibaki na wanachama wale wale na hata wengine kuwa wanachama 'wafu' kwakuwa vyama vyao havisikiki. Mikutano ya hadhara ya vyama vya kisiasa, kama ikiratibiwa vizuri, ni ya kujenga demokrasia, umoja na mshikamano.
Mkutano ya hadhara ya vyama vya siasa isipokuwepo, vyama vya siasa hufifia na vingine kufa kabisa. Sambamba na hilo, wananchi wanapoteza ladha ya kufuatilia siasa na kuwafamnya kutoshiriki ipasavyo katika mambo ya kiuchaguzi na kadhalika. Ndiyo maana, kila wakati idadi ya wanaojiandikisha kupiga kura na wale wanaopiga kura huzidi kuporomoka.
Kwasasa, washindi wa Ubunge, Udiwani na Serikali za Mitaa huchaguliwa na asilimia ndogo ya wananchi wao. Viongozi wa aina hii hawana baraka za walio wengi. Viongozi hawa hupata wakati mgumu katika kupanga na kutekeleza mambo ya kimaendeleo na wananchi wao. Kuna haja kuwa na siasa hai na si mfu kama ya sasa.
Iko wazi kuwa uchaguzi mdogo uliofanyika Jumapili iliyopita si kipimo cha kukubalika kwa sera na uongozi wa Rais Magufuli wala kutokukubalika kwake. Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina kazi ya kufanya katika kuwaelimisha watanzania umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura.
Mkuu, mimi sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA wala chama chochote kingine cha siasa hapa Tanzania au kwingineko. Ni nyinyi ambao kila kukicha hunipa uanachama wa CHADEMA. Kwani CHADEMA wana sifa zipi? Tambuaeni ya kwamba tupo tusio na chama chochote na maisha yanasonga kama kawaidaHahahahahaaaaa! Maskini! Leo naona umeikataa CHADEMA yako