Uchaguzi (CHADEMA) EALA,CCM Yapasuka

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Wabunge wa CCM wamepasuka huku wengine wakitoka kwa hasira katika kikao cha patry Caucus kilichokaa mchana. Mpasuko huo umetokea baada ya majina mawili ya Pamela na Josephine kupendekezwa kutoka juu ili wao ndio wachaguliwe kuwa wabunge wa EALA...

Hali hii imepelekea kambi ya Masha kupinga kwa nguvu zote na kutoka nje ya kikao
 
haya sasa ngoja waje. ila nachojua kwa sasa nchi hii tunaomaadui wakuu wa nne kwa sasa yaani maradhi,ujinga,umasikini na ccm
 
sasa wanahangaika na nini nawabunge siyo wao
 
Uchaguzi ni kura mtu yuko huru kuchagua yeyote utasemaje imepasuka kila mtu yuko huru kuchagua yeyote wakiamua wawape wanawake tu ni demokrasia sio kesi
 
sasa wanahangaika na nini nawabunge siyo wao
Wana pepo mchafu itabidi mchungaji Msigwa aongeze maombi na kufunga
 
Yaani baada ya masha kukataliwa uchaguzi uliopita alitegemea miujiza gani kuwa atashinda uchaguzi huu? Wakati wapiga kura ni Wale Wale? Usomi wake haujamsaidia kujua ku analyze Mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…