Ubora wa simu za Infinix ni zaidi ya baadhi ya simu za Samsung

ngori_kiza

Senior Member
Sep 27, 2022
147
186
Habari wakuu nisikuchoshe usinichoshe. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.

Simu za infinix zimekuwa ziki dharauliwa sana lakin nimekuja kugundua simu hizi ni nzuri sana na hazina shida yoyote sema ni ulimbukeni na kukariri maisha kwamba ukiwa na simu ya infinix wew ni mshamba tena wengine wana diriki kusema ni simu za wasukuma. Ok kwann nasem n simu nzuri na bora kwa sababu nimefanya comparison na nimegundua simu hizi ni bora kuliko hata hizo Samsung.

Mfano simu aina ya infinix hot 12 .
Ina ram 4+3GB

Ina uwezo mkubwa wa ku process data. (Quickly response)

Ina uwezo mkubwa wa kukaa na moto. Up to three days 6000mAh. (Samsung nying hazin uwezo huu)

Ina piga picha quality 58Mega pixel.

Ina possess dual sim card Lain mbili kitu ambacho (Samsung nyingi hazin uwezo huu.)

Ni sim ambazo hazi chemki i mean hazipati joto pindi utakapo itumia hata kama ni kwa mda mrefu.

Internet speed yake ni kubwa pia.

Ni affordable everyone can buy it it's price range between 260K to 300K Tz shillings.

Sasa nimekaa nkafikilia hii simu imekoswa nin cha muhimu ambacho simu ya Samsung inacho hadi ika dharauliwa..

Note. Comparison is of the Samsung phones that range with the same price of that amount.
 
1. Infinix Hot 12 haina 58MP kama ulivyosema Bali Ina 13MP Rear camera
2. Infinix Hot 12 haiuzwi kwa 260,000 hadi 300,000 kama ulivyosema bali simu inayouzwa kwa bei hiyo ni Infinix Hot 12i ambayo ni mbaya zaidi
3. Hiyo Infinix Hot 12 Ina kamera ya kawaida sana, sio ya kuja kupigia watu kelele humu ndani
4. Infinix inatumia software ya XOS. Hii XOS ni miongoni mwa Android skin mbovu kuwahi kutengenezwa duniani.

Pia point zako nyingi ni very weak. Hujatoa sababu ya maana ya kuisifia Infinix kuliko Samsung
 
Ndio maana hizi simu ilitakiwa zipigwe marufuku maana zinaharibu watu akili.
 
1. Infinix Hot 12 haina 58MP kama ulivyosema Bali Ina 13MP Rear camera
2. Infinix Hot 12 haiuzwi kwa 260,000 hadi 300,000 kama ulivyosema bali simu inayouzwa kwa bei hiyo ni Infinix Hot 12i ambayo ni mbaya zaidi
3. Hiyo Infinix Hot 12 Ina kamera ya kawaida sana, sio ya kuja kupigia watu kelele humu ndani
4. Infinix inatumia software ya XOS. Hii XOS ni miongoni mwa Android skin mbovu kuwahi kutengenezwa duniani.

Pia point zako nyingi ni very weak. Hujatoa sababu ya maana ya kuisifia Infinix kuliko Samsung
Hahaa kwan hizo sio sababu broo kwny camera hapo labd umenunua fake ila OG ina 58 mega pixel alaf mim nimesema sim za Samsung ambazo zina bei hio ndo uilinganishe na hio Infinix
 
Kwanza pole kwa kutokuzielewa simu vizuri hadi unafika hatua ya kucompare infinix na Samsung.

Hizo simu tukianza tu na processor habari inashia hapo. Kwasababu processor ya Mediatek haijawahi kuwa na ubora wa kuifanya simu kuwa the best kwenye soko kwa watumiaji wa simu kundi la Smart phones.

Ipo hivi, ukitaka kuongelea Smart phones bora toa hizo brand za hovyo achana na Samsung kama haujawahi kuwatumia au kuwaelewa wanarepresent nini kwenye ulimwengu wa technology.
 
Habari wakuu nisikuchoshe usinichoshe. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.

Simu za infinix zimekuwa ziki dharauliwa sana lakin nimekuja kugundua simu hizi ni nzuri sana na hazina shida yoyote sema ni ulimbukeni na kukariri maisha kwamba ukiwa na simu ya infinix wew ni mshamba tena wengine wana diriki kusema ni simu za wasukuma. Ok kwann nasem n simu nzuri na bora kwa sababu nimefanya comparison na nimegundua simu hizi ni bora kuliko hata hizo Samsung.

Mfano simu aina ya infinix hot 12 .
Ina ram 4+3GB

Ina uwezo mkubwa wa ku process data. (Quickly response)

Ina uwezo mkubwa wa kukaa na moto. Up to three days 6000mAh. (Samsung nying hazin uwezo huu)

Ina piga picha quality 58Mega pixel.

Ina possess dual sim card Lain mbili kitu ambacho (Samsung nyingi hazin uwezo huu.)

Ni sim ambazo hazi chemki i mean hazipati joto pindi utakapo itumia hata kama ni kwa mda mrefu.

Internet speed yake ni kubwa pia.

Ni affordable everyone can buy it it's price range between 260K to 300K Tz shillings.

Sasa nimekaa nkafikilia hii simu imekoswa nin cha muhimu ambacho simu ya Samsung inacho hadi ika dharauliwa..

Note. Comparison is of the Samsung phones that range with the same price of that amount.
Hapo ulipomalizia naona pia umejizunguka maana hata samsung kuna matoleo ya walala hoi yapo sokoni japo operation zilizopo kwenye samsung hiyo unayoongelea wewe haiwezi. Inatakiwa ufanye research za kutosha ndio uje na mada kama hizi na uwe na point za kutosha pia
 
Back
Top Bottom