Hapa sheria za TAXI imekuaje?
Maana UBER inamruhusu mtu yoyote mwenye gari kufanya biashara ya TAXI bila kibali chochote zaidi ya driving license yake, kwa Tanzania tunajua kuwa TAXI bubu haziruhusiwi so UBER wamelizunguka vipi hilo?
DSM baby!
Sasa wabeba box mtatamani kurudi home.
Duuuuh nawaonea huruma madrva tex na bodaboda. Nchi zote uber inapo operate basi ni kilio kwa hao madereva.
Ila kusema ukweli kwa Tanzania naona kutakuwa na changamoto sana na madereva watakuwa wanakula hasara tu mwisho wa siku.
SAAAFIJune 15, 2016
Uber has officially launched its services in Dar es Salaam, Tanzania. This is the 9th African country and 475th city on Uber’s global network.
As usual, users in Dar es Salaam will enjoy six free rides for three days. The code is “MoveTanzania”.
Uber has been spreading across Africa this year so far. They launched in Ghana last week, and Uganda two weeks ago. Again, I’m wishing Uber the best in this new African country.
=======
Nini hatma ya Bodaboda, Bajaj na Taxi jijini Dar?
=======
Kwa wanaouliza kuhusu Uber:
Uber Technologies Inc. is an American multinational online transportation network company headquartered in San Francisco, California. It develops, markets and operates the Uber mobile app, which allows consumers with smartphones to submit a trip request which is then routed to Uber drivers who use their own cars.
Hicho ndicho ambacho mie ninakiona.. Mazingira na miundo mbinu sio rafiki kwa huduma hii.. Pia monitoring na vetting kwa ajili ya kuwapata wenye magari waaminifu ni ngumu kwa sasa hapa kwetu..
Kwa mfano, watawezaje kufanya background checks za madereva ili kuweza kuhakikisha usalawa wa abiria?
Can you imagine, hii 'think tank' ya chama haijui uber ni kitu gani alafu anasimulia ngonjera za ustawi wa viwanda!!Mkuu fafanua vizuri ni kitu gani hicho wengine hatujui
Dereva anafanya taratibu zote za kuwa dereva yaani leseni ya udereva, leseni ya biashara ya eneo analofanyia biashara kama ni Kinondoni au Ilala.
Dereva anakuwa independent na Taxis yake iwe inaonyesha kuwa ni taxi.
Uber watafanya verifications kwa dereva na pia katika hiyo apps kuna uwezo wa mteja kufuatilia mwenendo wa dereva mpaka pale anapomchukua.
Hivyo kwa upande wa usalama ni kwamba details zote za devera zinakuwa zimehifadhiwa mahala na pia mienendo yake.
Itabidi maderva wawe wameiva kwelikweli.
Uber ni kampuni ya Kimarekani kama ilivyo Google, Yahoo, Coca-Cola, na zinginezo nyingi tu.
USA baby...
Mkuu fafanua vizuri ni kitu gani hicho wengine hatujui[/QUOTE
Kama una gari na una smart phone hivyo unakuwa tax driver na mnakutana na mteja kwa njia ya smart phone. Badala ya ku chat tu sasa unaweza kufanya biashara. You download an application and the potential customers also down load the app. Then through this uber app. You will be able to pick your customer and your customer will contact you fo
Utaratibu huu utasaidia sana uporaji uliokuwa unafanyika dhidi ya watalii waliokuwa wanaitembelea nchi yetu kwa nia njema wakati huo huo kuliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni. Lakini madereva wenye nia ya kujipatia kipato kwa njia isiyo halali wamekuwa wanashirikiana na watu wasio waaminifu kwa kuwapora mali za watalii hawa na wakati Fulani kuwatishia mpaka watoe namba za siri za kadi zao za benki hatimaye kufanikisha kutoa fedha zote kutoka kwenye account zao.
Uber itaongeza ujambazi sana hasa katika miji Kama Dar Es Salaam
Na gharama za car service,fuel n.k nani atakuwa anazigharamia?
Kwa mfano, watawezaje kufanya background checks za madereva ili kuweza kuhakikisha usalawa wa abiria?
Boda boda ya magari binafsi.Nazo zitakua na barabara zake?