Twins and their mom. Now, who is the mom?

Mama ni huyo wa kushoto mbona iko wazi tu..
Muonekano wake kwa ujumla usoni unaonyesha..., especially ukimtazama shingo yake imeanza kujikunja kunja na koromeo lake limetuna....
 
Mama mwenye shati la jinzi.

Mapacha ingawa nguo tofauti na rangi tofauti ila mistari sare sare pul neki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…