TV ni chombo hatari sana

Yeah. Upo sahihi san.

Mwenye. Kufatilia mengi atajua unazungumzia nin hapa
 
skuiz unaweza ukaangalia taarifa ukajakustuka hata hujui ulikuwa unafanya nini maisha yamebana mnooo
 
Reactions: MC7
Tangu dish langu la abudhabi lilipodondoshwa na upepo... Na mimi nimeacha kuangalia kabisa TV maana kuna kipindi cha BRAIN GAME hakika nilikuwa na gain vitu vingi sana
 
Duh nina miaka miwili sasa tangu nilipoamua kutokuwasha TV yangu ndani, sijui hata kama bado inafanya kazi. wengi wanasema misimamo yangu ya ajabu ajabu.
Tokea Star time
waache kutoa chanel za bure na wewe Umeacha kuangalia
 
Mimi nimeamua kuangalia sinema za wanyama, samaki, ndege na wadudu.
Hizi propaganda zingine naona kunipotosha tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…