Wenye majina hayo alaf wakatoboa ni wachache na huwa wametumia nguvu ya ziada kwenda against na tabia ya hayo majina... Jaribu kuwauliza
Nimeipenda comment yako
Ndiyo ume umetoa comment hivyo
Kuzini, kuiba, kukaba hizo ni tabia anazoziadapt mtu kulingana na mazingira, ndo maana hata wenye majina ya kawaida nao wanazini, wanaiba na kukaba. Tabia au hali inayoletwa na majina ni kama hizi, mfano mtu anaitwa tabu, au shida, maisha yake yanakua ya shidashida tu kila siku, masumbuko atasumbuka huyo, mashaka utakuta hajiamini, maisha yake ya kimashakamashaka tu. Ila majina kama amani, furaha, upendo, neema, yaani hadi mwenyewe unafurahi.. Asa unamwita mwanao siwema alafu unataka awe na mwema, unamwita Bia au gongo au kilevi chochote alafu awe mwerevu kweli. Fikiri mchungaji awe na jina linafanana na kilevi atapata waumini kweli ??Na hawa wenye majina ya kwenye vitabu vya dini huku mtaani wanaiba wanakaba na kufanya uzinifu tuseme ndicho majina yao yanachosadifu au ni nini. Acheni ujinga
IdealismKuzini, kuiba, kukaba hizo ni tabia anazoziadapt mtu kulingana na mazingira, ndo maana hata wenye majina ya kawaida nao wanazini, wanaiba na kukaba. Tabia au hali inayoletwa na majina ni kama hizi, mfano mtu anaitwa tabu, au shida, maisha yake yanakua ya shidashida tu kila siku, masumbuko atasumbuka huyo, mashaka utakuta hajiamini, maisha yake ya kimashakamashaka tu. Ila majina kama amani, furaha, upendo, neema, yaani hadi mwenyewe unafurahi.. Asa unamwita mwanao siwema alafu unataka awe na mwema, unamwita Bia au gongo au kilevi chochote alafu awe mwerevu kweli. Fikiri mchungaji awe na jina linafanana na kilevi atapata waumini kweli ??
Hahahahanasikia hata ile amri ya kuzuia viroba ilitokana na tabia ya watu kutumia jina la muheshimiwa vibaya hata mida ya kazi!
Unamaanisha 'Pombe?'...Mtoto anaitwa Bia au Walwa
mkuu nini tena
hahaha mkuu mi simoKwamba unaweza ukamuita John bado akazingua
[HASHTAG]#Nimekumbuka[/HASHTAG] faru John, Simulizi zake
hahaha mkuu mi simo
utasamehewa kama Ney na ukaitwa jumba la mfalmeHahaaaaahajatajwa mtu usihofu
Ulifikilia nini kusema hivyoHili limekuwa tatizo sasa, wazazi mnawapa watoto wenu mizigo bila kujua. Majina yana tabia ya ku-reflect tabia ya mhusika... Mfano mtu anaitwa mashaka, tabu, shida, mawazo,hatia,majuto.
Matokeo yake mtoto akiwa mbaya mnaanza kumlaumu kumbe shida ni nyie.
Mfano mtu anaitwa kilevi... Alafu unategemea awe na busara kweli.. Matokeo yake ndo haya mnakuja kuwapa watu shida buree.
Kuweni makini.