Tuwe makini sana na pete, zingine sio pete, ona huyu...

Ina maana kidole ndio kimekwenda?

Sent from my Magnus bravoZ10 using JamiiForums mobile app
 
Ina ilikuwa inambana yy akalazimisha kuivaa ndyo matokeo yke.
 
Sasa mtu anakuwa haoni hadi kidole kinafika hatua hiyo jamani khaaa
 
Maelezo ya mtoa Uzi yapo wazi...tuwe makini zingine sio pete inamaana imembana na imegoma kutoka kwa njia zote ikaamua kutoka na kidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…