Tuutathmini mzigo wa dakika 8 wa Dizasta kiuandishi, flows, punclines na rhymes

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,916
Huh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera
Inawaumiza napopiga hela
Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo
Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends
Wapo wavivu wapatwe na dhiki
Wako hoi hawatoboi hata uwape matrick
Ni marafiki na wanaita wanawake ma-bitch
Utadhani hawatapa mabinti
And we are best friends
Wapo waliooga maji yangu
Niliondoka wakamtongoza manzi yangu
Na bado naishi nao mmtaanui Kando kando ado ado
Siwachukii wananifundisha, So we are still friends
Nina marafiki hawana deal na mii
Hawana sera na wanachill na mii
Wanajua nilipotoka ila hawakuwepo niliposota
Leo wanashoboka kisa mi msanii wanazingua but we best friends
Wapo waliopotea fasi
Unawalea leo kesho wananyea kambi
Tunapeana gwara kama marasta tukikutana
Kinyongo hakuna niko safi, ‘cause we are best friends
Hatua ndogo sijavuka futi
Siwezi kufurahi moyo linapokufa kundi
So unapookota dodo siwezi fuga bundi
Moyo wangu mdogo siwezi fuga chuki
‘Cause we are bеst friends
So sihusiki na ugomvi wako, Lifestyle au kopi zako
Gossips za matozi wеnzako
Nishaumizwa na watu industry na makovu yapo
So I’m sorry that i'm causing trouble. Best friend
Misingi yangu haipasuki man
Una-confuse ushindani na ukinzani
Sikutukani labda tu uanzishe chuki nami
Naiheshimu culture nikifagia situpi ndani
Sio mtemi hata kidogo, Japo sichekicheki
Niliitika nyumbani waliponiita, Ukinzani ulipofika
Wakanifunza amani palipo vita nina uhakika
We are best friends
Washkaji zangu wa utotoni wanang'ata pela
Walienda mtoni kuzisaka cheda
Na wengine walidakwa Jela
So siwezi kuchukia hustler mwenzangu akipata hela
Naishi kizazi bro kama hauamini muulize Kadgo
Siwezi ringa nyumbani mbali bro
So ukiona nimeandika tusi ujue ni typo
And I’ll be sick If I’ll ever enjoy your downfall
Biashara vita ushajitupa vitani
So Ukishindwa sitegemei ka' utakufa kiimani
Sina chuki napoona unavifuga vidani
Furaha yangu ni kuona umem-retire bimkubwa nyumbani, So we are best friends
Mitihani hii haina majibu
Palipo na amani pana taifa nadhifu
Usitegemee niwe msafi ka’ malaika wa mbingu
Na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu
We are friends bro
Kuwekeana chuki inakera
Sirudii upuuzi walileta nuksi masela
Mi sio bepali kwahiyo sifugi mahela
Unakosea kuniweka kwenye kundi na Fela
I'm not your enemy maana haupo nilipo master
Lyrical Murderer Kikatili Nakili mastanza
Ushasikia nyimbo mtaani wananakili maujanja
Cargo begani ka’ msafiri nasafirisha culture mi ni
Bestfriend
Yeah! But you' re already know
And I’m on my MP heavy flow
Kadi bury Og
Nisome humu nabakia ngome ngumu kama Highbury 03
Hustle mode so nicheki kesho
Kwenye hotel ma-suit flani hivi presidential
Nikiunda Good stuff, going past your comprehension
Huoni Ma-chef wanacopy session
Sijakucheki niko resi wanauliza do I ever rest
Hizi height ni mount everest
This is art in a full form
Hazifanani na ma-uniform scout mi ni unicorn
I'm your Best friend Nakwambia game chafu
Hell yeah ushaona ma-dirty players
Pole sana universe doesn't play fair
P hajakwambia Industry jela sio daycare
Badala ya kuanza kulalamika kwenye kila pini
Chagua kufanya au chagua kuweka mpira chini
Maana kila mbuyu mkubwa una kila jini
Si uungwana wakikuudhi ukiniletea hasira mimi
Naweza nika-login nika-like-like kisha
Nika-reply Lengo ni ku-hype hype twitter
Uliza watu wote mtaani wote wanaomfahamu vina
Nikiamua kumbattle mtu huwa namtaja jina
Sivungi vungi bahati mbaya you are not My competition
Mwanao alafu uniandikie wimbo contradiction, This is not a diss I’m just clarifying
Kama unataka biff kama mbwai mbwai, Lets go to mission
Wekeza ujikimu nakuheshimu jiheshimu
Tuheshimiane I'm your best friend
Ukipata stress nipigie tu-adress
Ukiniundia case ni wazimu, I'm your best friend
Mawazo yakija unaokota some books
Unalipia membership kwenye gym, I'm your best friend
So usinirushie stimu
Futa Candy crush kwenye simu
Same color si Wabantu
Sanaa maisha yangu sina masihara niki One-two
Tuko tofauti ka sigara na tumbaku
So ukiniletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu, I'm your best friend
Kwanza kunywa chai
Wenzio walinijadili wakavua tai
Kazi ngumu waaajiri walifanya dua site
Kunitaja sio ujasiri hiyo ni suicide
Japo sikujikuji mbele, na sisukisuki nywele
Na sifugifugi upele, na situpitupi mchele na
Sina matatuu sifagili mananiii
Machupi chupi tele I'm your bestfriend
Gear ya chini ya ufundi wangu
Ishi upande wangu haustahili matusi yangu
Haustahili muda wangu haustahili maujuzi tangu
Nanyoa haustahili kugusa ma... Sorry
Umesahau haya maclick click pow pow
Uko Idle na unani-diss-diss calm down
Ukilala game itaku-jig-jig now now
Man! Hawa machizi wa siku hizi Jau jau
Nina Portfolio nyingi imara tu
Ningejali jinsi unavyoni-diss but my hands are full
Unafahamu tatizo niki-lay verses
Be careful What you say next, bloody fool
Inanishangaza sana
You had all the means to check me ukachagua wimbo ‘cause unataka drama
Nishadiss hadi kanisa langu msen-e haukumbuki
Unataka niue mende kwa bunduki
 
Back
Top Bottom