Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Niungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule.
Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam

Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema ni vioo vya jamii(wasanii). Tukiwataja huenda kwa namna Moja ama nyingine wakaona aibu na kuacha na pia itatufanya tusisituke sana kama ilivotokea kwa wasanii ambao wamekwisha julikana. Wasanii hawa wakitajwa hapa siku wakija kujulikana kama wanatumia kweli poda na bangi basi jamii itawachukulia poa maana watakuwa wameonywa wakashindwa kubadili tabia.

NB: usitaje wasanii ambao tayar wameshajulikana kama vile Ray C, Nando, Chind Benz,Daz Baba,FEROUZ et. Taja tu wale ambao wapo wanatumia ila madhara bado hayajaonekana kwa ilivotokea kwa wasanii tajwa.
Lengo ni kuonya na kuelimisha wasanii maana inaonekana wanaimba nyimbo za kuelimisha ili wapate pesa ila wanashindwa wao bnafsi kutumia nyimbo zao za jumbe Kali na nzuri kuzifuata na kuzitii.
Nawasilisha

Karibuni.

Rais 2020.
 
Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na walimwengu. Hapa ni kama vile tunawafunza ila wasioelewa yakija kuwakuta wasianze kusema wapewe msaada wa kwenda sober.
 
Kwenye matukio ya show za wasanii huhudhurii
Kwa Kifupi bongo mziki wote 90% wanavuta Sana bangi hata huku back stage
WOTE unaowajua wawe mademu au WA bongo movie wote bangi wanavuta
Kina wema kina wengi Sana. Kuhusu ngada ni ngumu kumjua. Ila Kwa bangi labda badilisha Uzi uwe wasanii wasiouvuta bangi. Na sijui kwanini hizi Maada za bangi zimechukua NAFASI humu jukwaani. Ukweli ni kwamba bangi ina mashabiki kuliko unavozani.
 
Mkuu nimesema ngada na bangi. Hivo kama unajua either anatumia ngada au bangi mtaje ili siku yakimpata ajue tulimwonya toka awali.
 
Bangi sio madawa ya kulevya.

Sigara ina madhara makubwa kuliko bange.
mbona ukivuta una sizi kama si madawa nin yani bange inaenda idanganya akili kabisa yan nakujiona wewe ni special sana kw kwel i hate bange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…