Kingeke Mavoya JF-Expert Member Jan 27, 2017 619 598 Jan 28, 2017 #1 NAWAOMBA MSAADA KWA WALE WATAALAMU WA MAPISHI:- JAMAN NAPIKA PILAU NIKISHA WEKA MAHINDI KITU GAN KINGINE KINAFUATA?
NAWAOMBA MSAADA KWA WALE WATAALAMU WA MAPISHI:- JAMAN NAPIKA PILAU NIKISHA WEKA MAHINDI KITU GAN KINGINE KINAFUATA?
jr boy JF-Expert Member Dec 4, 2016 215 226 Jan 28, 2017 #2 sija jua pilau lako una lila saa ngapi tuanzie hapo
Kingeke Mavoya JF-Expert Member Jan 27, 2017 619 598 Jan 28, 2017 Thread starter #3 jr boy said: sija jua pilau lako una lila saa ngapi tuanzie hapo Click to expand... jioni
Kingeke Mavoya JF-Expert Member Jan 27, 2017 619 598 Jan 28, 2017 Thread starter #4 jr boy said: sija jua pilau lako una lila saa ngapi tuanzie hapo Click to expand... wewe nisaidie
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,744 Jan 28, 2017 #5 Hapo chukua kachumbali na magimbi ya tukuyu changanya
NALIA NGWENA JF-Expert Member Oct 6, 2016 10,571 13,399 Jan 28, 2017 #6 Mkuu Hapo kinachofuata Weka maembe mabichi
jr boy JF-Expert Member Dec 4, 2016 215 226 Jan 28, 2017 #7 Kingeke Mavoya said: jioni Click to expand... kama utakula jioni fanya pima vikombe vya nusu 8 vya magadi uweke kupunguza gas tumboni la sivyo ulali uta kesha
Kingeke Mavoya said: jioni Click to expand... kama utakula jioni fanya pima vikombe vya nusu 8 vya magadi uweke kupunguza gas tumboni la sivyo ulali uta kesha
ukhuty JF-Expert Member Oct 9, 2016 16,877 41,961 Jan 28, 2017 #8 jr boy said: kama utakula jioni fanya pima vikombe vya nusu 8 vya magadi uweke kupunguza gas tumboni la sivyo ulali uta kesha Click to expand...
jr boy said: kama utakula jioni fanya pima vikombe vya nusu 8 vya magadi uweke kupunguza gas tumboni la sivyo ulali uta kesha Click to expand...
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Jan 29, 2017 #9 Hilo pilau ukilishushia na orange juicy na pipi kifua! duh huwezi lisahau
Kingeke Mavoya JF-Expert Member Jan 27, 2017 619 598 Jan 29, 2017 Thread starter #10 Mndali ndanyelakakomu said: Hapo chukua kachumbali na magimbi ya tukuyu changanya Click to expand... hahahahaaaa
Mndali ndanyelakakomu said: Hapo chukua kachumbali na magimbi ya tukuyu changanya Click to expand... hahahahaaaa
Kingeke Mavoya JF-Expert Member Jan 27, 2017 619 598 Jan 29, 2017 Thread starter #11 NALIA NGWENA said: Mkuu Hapo kinachofuata Weka maembe mabichi Click to expand... dah
Kingeke Mavoya JF-Expert Member Jan 27, 2017 619 598 Jan 29, 2017 Thread starter #12 jr boy said: kama utakula jioni fanya pima vikombe vya nusu 8 vya magadi uweke kupunguza gas tumboni la sivyo ulali uta kesha Click to expand... haya
jr boy said: kama utakula jioni fanya pima vikombe vya nusu 8 vya magadi uweke kupunguza gas tumboni la sivyo ulali uta kesha Click to expand... haya