Tungekua tu starlink tusingekua tunalialia na cable?? Technological advancement haiepukiki ulimwengu huu

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Nov 28, 2023
499
600
Kufuatia mtikisiko wa internet serikali ijifunze jambo!……
Sababu hazitatui tatizo hata wakishinda wanaelezea. Tunataka Tanzania mpya Tanzania ya suluhisho siyo ya kujielezea kushindwa au walipofeli

Kwako Tanzania
 
Huwezi linganisha

Technology imekupita kushoto, huwezi linganisha optical fiber na radio link..
 
Back
Top Bottom