nyonyodawa
Member
- Nov 11, 2024
- 41
- 125
Umefika muda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslahi yao bali siyo ya nchi.
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM, naamini utaondoka na wanachama wengi, tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uanaharakati vitendo, hata Mozambique wanatushinda?