Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,073
Atazuiaje ?! wakati ni wachache wasikilizwe na wengi waamue!!Lissu kama mtunga sheria kafanya nini kuzuia hili?
Atazuiaje ?! wakati ni wachache wasikilizwe na wengi waamue!!Lissu kama mtunga sheria kafanya nini kuzuia hili?
Atazuiaje ?! wakati ni wachache wasikilizwe na wengi waamue!!
Akili yako naomba usije kuruhusu mwanao alisi,katika jamii forum sijawahi ona MTU kama wewe na hatokuepoKichaa huyu Lissu, analiona hilo Leo? Hali ni hii miaka yote NA sector zote.
JEE yeye anamlipa ngapi mfanyi kazi wake wa nyumbani NA anafanya kazi masaa mangapi?
First liberate them at your home than come to the national ground, everybody is needed kuwaokoa hawa ndugu zetu.
Msiitukane serekali tuu, wafanyikazi wengi ni wale wanaoajiriwa NA makampuni NA watu binafsi, hapo ndipo pa kuanzia . Tena angeanzia bungeni tujiulize JEE wabunge wanawalipa wafanyikazi wao kiasi gani? Wana Likizo za wiki NA mwaka, wanawalipia matibabu, kiunua mgongo, nk
Huwezi kumhukumu mtu, kama wewe sio mtenda haki. Let us synchronize all effort to fight this injustice from our home's, neighbourhood and up to Ikulu.Bwana mkubwa nadhani lisu yuko sahihi sana kuliona swala hili leo ni sawa,je wewe ulitaka alione mwaka gani 2020 au? Kama ulitaka alione kitambo pia bado hajachelewa tunachoshukuru ni kwamba kaliona ili tuanzie hapa kwenda mbele
na hapa ishu ni kuhusu serikali sio mambo ya watu binafsi habari za ma house grl na ma house boy zinatoka wapi au ulitaka atangaze kwanza kwamba yeye anawalipaje wafanyakazi wake, alafu iweje
Huenda anawalipa vizuri au hawalipi vizuri lakini yeye hana hatia lawama hizo pia zinarudi kwa serikali kwa kutokuwa makini na usimamizi wa sheria zake
Bosi ndio mwenye maamuzi hakuna sheria inayombana lazima wafanyakazi wakandamizwe tuu
Tz bhana , kuandika utumbo ni sifa nowdayz.Kichaa huyu Lissu, analiona hilo Leo? Hali ni hii miaka yote NA sector zote.
JEE yeye anamlipa ngapi mfanyi kazi wake wa nyumbani NA anafanya kazi masaa mangapi?
First liberate them at your home than come to the national ground, everybody is needed kuwaokoa hawa ndugu zetu.
Msiitukane serekali tuu, wafanyikazi wengi ni wale wanaoajiriwa NA makampuni NA watu binafsi, hapo ndipo pa kuanzia . Tena angeanzia bungeni tujiulize JEE wabunge wanawalipa wafanyikazi wao kiasi gani? Wana Likizo za wiki NA mwaka, wanawalipia matibabu, kiunua mgongo, nk
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Mh Tundu Lissu amesema wafanyakazi lazima wasimame na kudai haki zao wala sio kuomba kwa kuwa ni haki yao" nchi hii inaonea sana wafanyakazi ukiangalia salary slip ya mfanyakazi wa Tanzania karibu 50% ni makato tu" alisema Lisuu.Mh Lissu ameongea hayo leo mjini Dodoam wakati wa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani alipokutana na wajumbe wa shirikisho la wafanyakazi nchini mjini Dodoma
Channel ten
Wewe makato hayo unayozungumzia ni ya kodi ya mshahara,ambayo ni 25%mpaka 30% je hujui kama kuna makato mengine? kuna ppf,jumuia ya wafanyakazi na mengine mengi,kama bima ya afya n.kwe lissu ume grADUATE LINI SHERIA? mbona siku zote hizo hukuwatetea? halafu hiyo 50% ya makato ni nini mpaka leo hii ujaribu kuwahadaa wananchi?
maana higher income tax rate ni 30% walio chini ya hapo ni 20% to 25% . sasa makato ya zaidi ya hiyo 30% kwa wale highest income earners ni mikopo binafsi ambayo serikali haihusiki nayo. na wale wa midles level makato ya income tx ni hiyo 20% ya zaidi ya hapo ni hiyo mikopo ya chuo, kama ukiongzea hiyo 15% kwa wale walio kuwa na arrears hivyo jumla ni 35%. au unataka serekali iache kutoa mikopo? kama ilivyokuwa zamani? uanze kupiga kelele kuwa matoto wa maskini au watu wachini hawatoweza kupata elimu?
Watumishi walipokuwa hawajapandishwa mishahara Lissu alitumia hiyo hoja kama Kiki kisiasa. Leo wanapandishwa anageuka kutaka kuimaintain Kiki yake. Mbona Wabunge walikuwa wanapokea mishahara
na maposho kibao hakusema lolote au alikuwa hujui hiyo
situation.
Lissu kama mtunga sheria kafanya nini kuzuia hili?
Jee hakusema kama suala hilo nalo atalipeleka mahakamani kudai haki za watumishi hawa kwenye mahakama ya katiba?Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Mh Tundu Lissu amesema wafanyakazi lazima wasimame na kudai haki zao wala sio kuomba kwa kuwa ni haki yao" nchi hii inaonea sana wafanyakazi ukiangalia salary slip ya mfanyakazi wa Tanzania karibu 50% ni makato tu" alisema Lisuu.Mh Lissu ameongea hayo leo mjini Dodoam wakati wa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani alipokutana na wajumbe wa shirikisho la wafanyakazi nchini mjini Dodoma
Channel ten
Nyani kwamba wewe hujui siasa za bunge letu au mna maana gani. CCM bungeni wangependa waibue mijadala wao na si upande wa pili, na ikitokea wabunge wao kuungana na wale wa upinzani mara moja ni party caucus na kuwanyamazisha wanafki wa kubwa hao.Si lazima azuie....hata jitihada ya kuwasilisha hoja na muswada bungeni na kujaribu kushawishi wabunge waupitishe huo muswada ili uwe sheria inayozuia wafanyakazi wasikatwe makato makubwa, nayo inatosha kuonyesha kuwa kweli anafanya mambo yatayoleta tofauti.
Kuongea tu pekee hakuleti mabadiliko yoyote yale.....

Kichaa huyu Lissu, analiona hilo Leo? Hali ni hii miaka yote NA sector zote.