Tundu Lissu: Matumizi ya hovyo ya mamlaka ya kipolisi lazima yakome

Tundu na mashabiki wake wana vituko kuliko vya shetwani. Yaani mtu aagize mitumba, halafu kama mazingaombwe yageuke Magari ya kifahari. Halafu Lissu aende kumtetea kwa kumshinikiza Rais na mamlaka ya nchi kutenda kwa matakwa yake. Hii nchi ingeenda kwa UKIWA ingetafunwa hadi kwenye vidole!
makama pekee ndiko atapatikana mhalifu na aina ya adhabu
 
MATUMIZI YA HOVYO YA MAMLAKA YA KIPOLISI LAZIMA YAKOME

Waheshimiwa salaam.

Nimetoka Polisi Bandari muda huu. Nilikwenda kumwona mtu aitwaye Ramadhani Mussa Hamisi alias Ukwaju ambaye yuko mahabusu ya Polisi Bandari tangu tarehe 4 ya mwezi huu.

Ukwaju anatuhumiwa kuhusika na mzigo wa magari ya kifahari yaliyokamatwa na Bwana Mkubwa Rais siku chache zilizopita.

Leo ni siku ya 23 yuko mahabusu. Hajapelekwa kwenye mahakama yoyote na hajashtakiwa kwa kosa lolote lile.

Suala lake limeshafika kwa DPP na kwa RPC Sirro tangu siku kadhaa zilizopita lakini kila mkubwa anayehusika anaogopa kutoa maamuzi ya kumpeleka mahakamani au hata kumwachia kwa dhamana ya polisi.

Haya ndiyo madhara ya Rais wetu kuingilia majukumu ya kisheria yasiyomhusu. Rais wetu anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu lakini yeye sio askari polisi mwenye jukumu la kukamata wahalifu au kupeleleza makosa wanayotuhumiwa nayo.

Ijapokuwa ni Rais ndiye anayemteua DPP, yeye sio DPP na hana mamlaka ya kuamua nani apelekwe mahakamani na nani asipelekwe.

Sasa inapotokea Rais anakwenda kwenye matukio ya uhalifu, kama ilivyokuwa kwenye suala la Ukwaju, anawafanya watendaji wanaohusika nayo washindwe kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.

Katika mazingira ya sasa ya 'utumbuaji majipu', watumishi wa umma wanaogopa kufanya maamuzi kwa hofu ya kutumbuliwa majipu, hasa kwa masuala ambayo yameshafikishwa kwa Rais kwa njia extra-legal kama hili la Ukwaju.

Matokeo yake haki za wananchi za kuwa huru zinakiukwa bila sababu za msingi.

Haya ni masuala ambayo TLS chini ya uongozi wangu inatakiwa kuyashughulikia. Hii ni sehemu ya agenda tutakayompelekea Rais na IGP na AG pamoja na Waziri mpya Prof. Kabudi tutakapoenda kuonana nao kama tulivyokwishawaomba.

Kila mmoja wetu, mawakili na wasiokuwa mawakili tuyapigie kelele matumizi mabaya ya mamlaka ya kiupelelezi na ya kipolisi yanayopelekea haki za wananchi wetu kuvunjwa namna hii.

Kelele zitasaidia, ukimya ni sawa na kuyaunga mkono matendo haya mabaya.

Wasalaam.

Tundu Lissu.
Hivi huyu jamaa anakutana na wapigakura wake??? muda wote matamko tu kwenye mitandao!!!. Mh. Nenda ukakutane na wapigakura wako karibu bunge la bajeti litaanza karibuni. Sisi huku mjini tumeshakusikia huko jimboni kwako wengi hawana Smartphone!!
 
Mbona unatokwa povu soma vizuri alichokiandika!! Na ungekuwa mfuatiliaji mzuri ungejua aliomba aonane naye kwa lipi! Sio kudandia treni kws mbelee
Ile kumwita Rais dikteta uchwara tu,imeshaondoa maana yote ya Tundu kuomba kuonana na dikteta uchwara.Ataongea nini na mtu ni dikteta uchwara?Hapo ndipo utakapoona usanii na maigizo ya viongozi wa upinzani ili kupata cheap popularity,huwa hawapimi wala kuweka akiba ya maneno,sasa chupi imembana anataka kuonana na Rais,akwende zake huko
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto
Hofu inawafanya watu washindwe kusimamia haki!
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto
Tatizo hapa umeingia kwa jazba na mihemko na ndo maana umeishia kuandika upuuzi. kama kweli wewe ni Great thinker, rudia tena mada halafu kaa tafakari and then rudi kujibu, utajikuta unahoja ya maana.
 
s
MATUMIZI YA HOVYO YA MAMLAKA YA KIPOLISI LAZIMA YAKOME

Waheshimiwa salaam.

Nimetoka Polisi Bandari muda huu. Nilikwenda kumwona mtu aitwaye Ramadhani Mussa Hamisi alias Ukwaju ambaye yuko mahabusu ya Polisi Bandari tangu tarehe 4 ya mwezi huu.

Ukwaju anatuhumiwa kuhusika na mzigo wa magari ya kifahari yaliyokamatwa na Bwana Mkubwa Rais siku chache zilizopita.

Leo ni siku ya 23 yuko mahabusu. Hajapelekwa kwenye mahakama yoyote na hajashtakiwa kwa kosa lolote lile.

Suala lake limeshafika kwa DPP na kwa RPC Sirro tangu siku kadhaa zilizopita lakini kila mkubwa anayehusika anaogopa kutoa maamuzi ya kumpeleka mahakamani au hata kumwachia kwa dhamana ya polisi.

Haya ndiyo madhara ya Rais wetu kuingilia majukumu ya kisheria yasiyomhusu. Rais wetu anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu lakini yeye sio askari polisi mwenye jukumu la kukamata wahalifu au kupeleleza makosa wanayotuhumiwa nayo.

Ijapokuwa ni Rais ndiye anayemteua DPP, yeye sio DPP na hana mamlaka ya kuamua nani apelekwe mahakamani na nani asipelekwe.

Sasa inapotokea Rais anakwenda kwenye matukio ya uhalifu, kama ilivyokuwa kwenye suala la Ukwaju, anawafanya watendaji wanaohusika nayo washindwe kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.

Katika mazingira ya sasa ya 'utumbuaji majipu', watumishi wa umma wanaogopa kufanya maamuzi kwa hofu ya kutumbuliwa majipu, hasa kwa masuala ambayo yameshafikishwa kwa Rais kwa njia extra-legal kama hili la Ukwaju.

Matokeo yake haki za wananchi za kuwa huru zinakiukwa bila sababu za msingi.

Haya ni masuala ambayo TLS chini ya uongozi wangu inatakiwa kuyashughulikia. Hii ni sehemu ya agenda tutakayompelekea Rais na IGP na AG pamoja na Waziri mpya Prof. Kabudi tutakapoenda kuonana nao kama tulivyokwishawaomba.

Kila mmoja wetu, mawakili na wasiokuwa mawakili tuyapigie kelele matumizi mabaya ya mamlaka ya kiupelelezi na ya kipolisi yanayopelekea haki za wananchi wetu kuvunjwa namna hii.

Kelele zitasaidia, ukimya ni sawa na kuyaunga mkono matendo haya mabaya.

Wasalaam.

Tundu Lissu.[angalia hii video]
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto

Hivi watoto wako watakuwa na kipi chakuiga kutoka kwako?au ndo yaleyale ni kula kulala/mtoto wa mama?au ndo uchumi wa viwanda?
 
kabombe: Unajua Lissu ni nani kwa nchi hii? Yeye ni Rais wa chama cha wanasheria (TLS). Ana wajibu wa kumshauri kiongozi wa nchi kwa mambo ya kisheria bila kujali huyo Kiongozi ana tabia gani. Hizo tabia alizonazo ndo zinawafanya wanasheria wamshauri. Ulitaka waache kumshauri? TZ ni yetu sote ndugu.
Mkuu napata ukakasi ninaposikia lisu anataka kumshauri rais wakati hamtambui kama ni rais anamtambua kama dicteta uchwara , hapo patamu nasubiri kumuona mh Lisu anakapokaa pamoja na aliyemuita dictator uchwara amshauri
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto
Kakojoe ukalale
 
Hivi huyu jamaa anakutana na wapigakura wake??? muda wote matamko tu kwenye mitandao!!!. Mh. Nenda ukakutane na wapigakura wako karibu bunge la bajeti litaanza karibuni. Sisi huku mjini tumeshakusikia huko jimboni kwako wengi hawana Smartphone!!
Nakuheshimu ni maoni yako. Usimpangie kama ambavyo mkuu hataki ushauri wala kupangiwa
 
Ile kumwita Rais dikteta uchwara tu,imeshaondoa maana yote ya Tundu kuomba kuonana na dikteta uchwara.Ataongea nini na mtu ni dikteta uchwara?Hapo ndipo utakapoona usanii na maigizo ya viongozi wa upinzani ili kupata cheap popularity,huwa hawapimi wala kuweka akiba ya maneno,sasa chupi imembana anataka kuonana na Rais,akwende zake huko
Kama una kumbukumbu pale mahakamani shahidi wa jamhuri alisema dikteta uchwara hamjui, sasa tusaidie kumtaja dikteta uchwara ni nani
 
MATUMIZI YA HOVYO YA MAMLAKA YA KIPOLISI LAZIMA YAKOME

Waheshimiwa salaam.

Nimetoka Polisi Bandari muda huu. Nilikwenda kumwona mtu aitwaye Ramadhani Mussa Hamisi alias Ukwaju ambaye yuko mahabusu ya Polisi Bandari tangu tarehe 4 ya mwezi huu.

Ukwaju anatuhumiwa kuhusika na mzigo wa magari ya kifahari yaliyokamatwa na Bwana Mkubwa Rais siku chache zilizopita.

Leo ni siku ya 23 yuko mahabusu. Hajapelekwa kwenye mahakama yoyote na hajashtakiwa kwa kosa lolote lile.

Suala lake limeshafika kwa DPP na kwa RPC Sirro tangu siku kadhaa zilizopita lakini kila mkubwa anayehusika anaogopa kutoa maamuzi ya kumpeleka mahakamani au hata kumwachia kwa dhamana ya polisi.

Haya ndiyo madhara ya Rais wetu kuingilia majukumu ya kisheria yasiyomhusu. Rais wetu anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu lakini yeye sio askari polisi mwenye jukumu la kukamata wahalifu au kupeleleza makosa wanayotuhumiwa nayo.

Ijapokuwa ni Rais ndiye anayemteua DPP, yeye sio DPP na hana mamlaka ya kuamua nani apelekwe mahakamani na nani asipelekwe.

Sasa inapotokea Rais anakwenda kwenye matukio ya uhalifu, kama ilivyokuwa kwenye suala la Ukwaju, anawafanya watendaji wanaohusika nayo washindwe kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.

Katika mazingira ya sasa ya 'utumbuaji majipu', watumishi wa umma wanaogopa kufanya maamuzi kwa hofu ya kutumbuliwa majipu, hasa kwa masuala ambayo yameshafikishwa kwa Rais kwa njia extra-legal kama hili la Ukwaju.

Matokeo yake haki za wananchi za kuwa huru zinakiukwa bila sababu za msingi.

Haya ni masuala ambayo TLS chini ya uongozi wangu inatakiwa kuyashughulikia. Hii ni sehemu ya agenda tutakayompelekea Rais na IGP na AG pamoja na Waziri mpya Prof. Kabudi tutakapoenda kuonana nao kama tulivyokwishawaomba.

Kila mmoja wetu, mawakili na wasiokuwa mawakili tuyapigie kelele matumizi mabaya ya mamlaka ya kiupelelezi na ya kipolisi yanayopelekea haki za wananchi wetu kuvunjwa namna hii.

Kelele zitasaidia, ukimya ni sawa na kuyaunga mkono matendo haya mabaya.

Wasalaam.

Tundu Lissu.
Siku zote huyu jamaa hakosei.. Viva Lissu..
 
Mkuu napata ukakasi ninaposikia lisu anataka kumshauri rais wakati hamtambui kama ni rais anamtambua kama dicteta uchwara , hapo patamu nasubiri kumuona mh Lisu anakapokaa pamoja na aliyemuita dictator uchwara amshauri
yeye amesema anataka kumuona raisi, tusaidie huyo dikteta uchwara unaemsema wewe ni nani!!
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto
Alimwita Dikteta uchwara kwenye siasa. And now ameomba kuonana nae akiwa kama Raisi wa TLS... Hapo anakuwa na sura mbili tofauti.. It's hard to understand a genius..
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto

Ulivyo andika unaonesha ni kiasi gani mlivo matahira pale Lumumba
 
TunduLissu ni wapi Rais alisema UKWAJU asiachiwe?Alichofanya Rais ni kutembelea container zilizokamatwa,kama ni tatizo la kisheria au polisi usimuingize Rais kana kwamba kaamuru huyo UKWAJU asiachiwe.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kuomba kuonana na Rais uliemwita dikteta uchwara,unaenda kuongea nini sasa na dikteta uchwara.
Akili za Tundu Lissu zinawakilisha akili za wafuasi wengi sana wa UKAWA,-Kutukana mamba kabla ya kuvuka mto
Mjinga sasa wewe, Tundu Lissu ameomba kuonana na Rais kama Rais wa TLS sasa kwa akili zako ndogo wewe unepeleka mbali sana. Urais ni Taasisi ambayo ipo na itakuwepo hata Rais wa sasa atakapoondoka madarakani. Acha umbwiga wewe!!
 
Back
Top Bottom