Tundu Lissu Kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,698
239,262
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama Chake

Screenshot_2024-09-25-11-57-07-1.png

========
Vyombo vya Kimataifa vyajazana Mikocheni, Moto umewaka.
 
Natabiri kuwa anakuja kutapika nyongo, kuhusiana na kubainika kuwa kampuni ya simu ya Tigo, ndiyo iliyowezesha yeye kushambuliwa Kwa risasi, Kwa hiyo kampuni kukiuka mkataba wao na Lissu, za kumtunzia "privacy" yake

Walikuwa wakisema kuwa Tundu Lissu ameshambuliwa na wana-CHADEMA wenzie, sasa Kiko wapi??😳
 
Taarifa zake kuvujishwa haina ushahidi wa moja kwa moja kuwa inahusiana na shambulio la Risasi, alikua ni mbunge kwahiyo muhalifu wala hahitaji taarifa zake ili shambulio la risasi lifanikiwe ni suala la kumfatilia tu vikao vya bunge vinajulikana na makazi anayoishi yanajulikana, yeye ashitaki Tigo kwa makosa ya taarifa yake kuvunishwa
 
Acha kutetea ujinga unajitia aibu.
 
Taarifa zake kuvujishwa haina ushahidi wa moja kwa moja kuwa inahusiana na shambulio la Risasi, alikua ni mbunge kwahiyo muhalifu wala hahitaji taarifa zake ili shambulio la risasi lifanikiwe ni suala la kumfatilia tu vikao vya bunge vinajulikana na makazi anayoishi yanajulikana, yeye ashitaki Tigo kwa makosa ya taarifa yake kuvunishwa
Umeanza kufyata mkia mapema Sana, mwambieni kizimkazi kuwa kazi ndiyo imeanza hiyo ya kupigana na wazungu
 
Naona umesema chama chake
Hawajiamini hata kujitambulisha kama ni wana CHADEMA.wakati mimi najisikia fahari na vyema sana kujitambulisha kama Mwana CCM na hata watu wanafahamu ya kuwa mimi ni mwana CCM ninayewabubujisha machozi ya furaha nikianza kuongea kuwaelezea mambo makubwa aliyofanya Rais Samia .ambayo ni kama ndoto na miujiza.ndio maana hata Mheshimiwa Jenista Mhagama alifikia hatua ya kugalagala chini kuonyesha shukurani na heshima kwa Mheshimiwa Rais
 
Hivi ni nani Dunia hii hajui kwamba Mimi ni Chadema?
 
Y
Hawajiamini hata kujitambulisha kama ni wana CHADEMA.wakati mimi najisikia fahari na vyema sana kujitambulisha kama Mwana CCM na hata watu wanafahamu ya kuwa mimi ni mwana CCM ninayewabubujisha machozi ya furaha nikianza kuongea kuwaelezea mambo makubwa aliyofanya Rais Samia .ambayo ni kama ndoto na miujiza.ndio maana hata Mheshimiwa Jenista Mhagama alifikia hatua ya kugalagala chini kuonyesha shukurani na heshima kwa Mheshimiwa Rais
IMG_5989.jpeg
 
Back
Top Bottom