Tundu Lissu:Jioni ya jana ilikuwa ni jioni nyingine ya makelele

Anamaanisha kelele za kushangilia road license kwenye mafuta ina maana hata wasaga mahindi viijijini watalipa road license

Kweli wajinga ndio waliwao
Wakati wafanyakati wakilipa kodi mbili mbona hamkusema, let us be equal
 
double taxation then mnaimba ccm ccm ccm

Gari inaingia inalipiwa then inalipa kila Siku dah mnaimba ccm ccm kweli kazi ipo
Kwa mlikuwa hamlipi kabla?? Lisu kwa sababu ana sauti kali hapendi kusikia makelele ya mtu mwingine, anapenda asikike yeye tu
 
Mm huwa najiuliza yale makelele yatasaidia kupunguza angalau bei ya kilo ya mahindI huku kitaa?
 
Mm huwa najiuliza yale makelele yatasaidia kupunguza angalau bei ya kilo ya mahindI huku kitaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…