Tundu Lissu amewasilisha Mpango wa Kujenga jengo la TLS kwa Tsh. 3 bill wakati CHADEMA haijajenga

Sasa CHADEMA na TLC wapiwapi mleta hoja?
Mleta hoja hapa kachanganya mada. Tundu Lissu wa TLS anatimiza mipango ya TLS (ambayo pengine ilianza hata kabla ya kuwa RAISI wa TLS). Sasa jengo la CHADEMA linaingiaje hapa?
 
mleta mada ; kwa kiasi kikubwa tu umepotosha; mpango wa ujenzi wa jengo la TLS sio wazo la ni wazo la muda mrefu sana ambalo utekelezaji wake ulianza kufanyiwa kazi rasmi na Rais aliyemaliza muda wake mwaka huu; lisu amefanya muendelezo tu wa project iliyoanzishwa na mtangulizi wake.

mfano mwaka jana hakukuwa na coctail party fedha zote zilipelekwa kwa wakili house project.

lisu hastahili credit yoyote ile.
 
Yani unataka kufananisha chama tawala kilichoshika dola zaidi ya miaka hamsini ndiyo ukilinganishe na chama pinzani Kwa mtazamo chadema inaangalia maslahi ya wananchi kwanza siyo ufujaji wa fedha.
Kujenga jengo la chama ni ufujaji wa pesa!? Kweli akili nyumbu utazijua tu
 
Duh chama kikuu cha upinzan ila wafuasi wake ni wapumbavu wa fikra, kijengo gani hicho alafu mnanetetea? Aibu tupu
Kumbuka CCM ilipata Mali hizi wakati wa mfumo wa chama kimoja ambacho ni chaa dola, na either kutokana na pesa ya serikali au wananchi kuchangia nguvu zao na pesa ya serikali ni kodi za wananchi kwasababu serikali haizalishi pesa, unakosea sana unapofananisha chama Kama CCM na wapinzani kipesa na Mali kama ajengo na vinginevyo vyanzo vya mapato. Tumia akili kidogo.
 
huu sio muda wa mwafaka kwa chadema kwa kujenga majumba ya kifahari ili kushindana na ccm hizo zitakuwa ni kujitafutia sifa za kijinga.

hiyo ofisi kwa chadema kwangu nahesabu kama ni kambi tu. kwasababu saizi chadema ipo kwenye vita ya kupigania demokrasia.

na uzuri sisi wanachama wa chadema hatuangalii uzuri wa ofisi za chadema tunaanga malengo ya chadema ya kuikomboa tanzania.
Mbona viongozi wanalipana kujenga majengo yao binafsi
 
Troll JF,
ww ni sawa na mtu anayefurahia ccm kujenga jumba la kifahari kwaajili ya ofisi ya chama tu. na wakati huo yeye wazazi wake kijijini bado wanaishi kwenye nyumba ya nyasi.
Ina maana wewe ukiwa na Pesa hutajenga kisa wazazi wako hawana uwezo
 
Siku tunachukua nchi ccm na Mali zao viwanja na mashangingi yote yanayowekewa Lt 70 za Mafuta kila siku kwa fedha za watanzania maskini vitarudi serikalini tuwauzie wafanya biashara.chama cha magufuli kinaelekea ukingoni mtanzania amka
 
huu sio muda wa mwafaka kwa chadema kwa kujenga majumba ya kifahari ili kushindana na ccm hizo zitakuwa ni kujitafutia sifa za kijinga.

hiyo ofisi kwa chadema kwangu nahesabu kama ni kambi tu. kwasababu saizi chadema ipo kwenye vita ya kupigania demokrasia.

na uzuri sisi wanachama wa chadema hatuangalii uzuri wa ofisi za chadema tunaanga malengo ya chadema ya kuikomboa tanzania.

Ccm imechukia viwanja vya wazi na majengo yalojengwa na nguvu za wananchi,Chadema itajiahibisha kushindana nao.

Mleta uzi una uharo,hujielewi.Tundu Lissu kakuta mradi ukiandaliwa zamani,kila mwaka mawakili tunachanga hela,wewe baki na fani yako ya kushona viatu huko haya mambo ya wasimi huelewi kitu babu,We tulia wache wasomi wakimwae mwae
 
Jengo la makao makuu ya cdm limejengwa katika akili na mioyo ya wanachama wao na halikutumia ruzuku na nila ghorofa kadhaa kwenda juu.

Msingi wake ni imara sana maana wametumia nondo, kokoto na dongoulaya za aina ya kufikirika.

Na washawasha!
 
huu sio muda wa mwafaka kwa chadema kwa kujenga majumba ya kifahari ili kushindana na ccm hizo zitakuwa ni kujitafutia sifa za kijinga.

hiyo ofisi kwa chadema kwangu nahesabu kama ni kambi tu. kwasababu saizi chadema ipo kwenye vita ya kupigania demokrasia.

na uzuri sisi wanachama wa chadema hatuangalii uzuri wa ofisi za chadema tunaanga malengo ya chadema ya kuikomboa tanzania.
Utakuwa mwehu wewe
 
Watatukana matusi yoote hapa lkn wakumbuke wanaishi geto, tena pembeni kuna mfereji wa kinyesi, tena pembeni ya makaburini, hawana akili wao kuimba ujinga tu, kutumbua pesa za ruzuku
 
Wakuu Mheshimiwa Tundu Lissu amewasilisha mpango wa Kujenga Jengo la TLS kwa Tshs. 3,000,000,000 huku Makao Makuu ya Chadema Wakishindwa Kujenga jengo jipya Muda wote Takribani Miaka 27. CCM ilivyokua na Miaka 27 ilikua tayari Imefanya Mengi na Inamiliki Majengo, Viwanja na Mali nyingine nyingi.

Hali Inasikitisha Makao Makuu ya Chadema iliyopo maeneo ya Uswahilini sana hivi ada za wananchama huwa mnapeleka wapi?

Mnashindwa Kununua Ardhi Mkajenga Jengo la Tshs.500,000,000 kama Moja Fleets za UDSM? Kwa Uwezo wa Mbowe tuu anaweza Kujenga Jengo la Chama kama Muhisani kwani hata Nyumba yake anayeishi ina gharama kubwa zaidi ya TShs .500,000,000.
View attachment 499849
Acha ulofa hao ccm walijenga kwa hela za serikali enzi ya chama kimoja,viwanja vyote vya mpira walitaifisha wao,peleka huo upumbavu lumumba nyambafuuu wewe.
Miaka yote 50 wamefanya kipi cha maana hao nyumbu wenzako
 
Sawa bwana mdogo naweza kuwa mimi mjinga tu hilo si shida najua mna mihemko kutokana na ufahamu mdogo na maarifa..lakini Tundu Lisu anajjenga kwa ajili ya TLS kama Rais na sio kama Mwanachadema. Hivyo sisi members wa TLS tunampa Big Up kwa hilo never mind hao wa CDM. Ila historia ndio hiyo kuhusu CCM na CDM. Ukubali usikubali tumeishi kuifahamu Historia na kuipitisha kwa msiojua na ndio faida ya UKUBWA.

Sijamtaja Tundu Lissu kwenye hili, I just said Chadema in General, hawana excuse ya kutokuwa na jengo zuri!
 
Bado sn umegusa wa kaskazn utashambuliwa balaaaaa. Hata ukwel wao hupnga tuuuuu
 
Wakuu Mheshimiwa Tundu Lissu amewasilisha mpango wa Kujenga
Sasa hapo ndiyo utaona na kuwasoma vizuri hawa viongozi wao, yaonekana na kujidhihirisha kabisa mule CHADEMA, namba wani ni matumbo na familia zao, wanachama wao na uhai wa chama mwisho! Ile ni kampuni wakuu, an ATM, who cares whether ofisi kuu imejengwa kama hivi?!
 
Back
Top Bottom