Tundu Lissu alishawahi shinda kesi zipi muhimu kama wakili?

Yehodaya kakimbia nini mbona haonekani tena kwenye huu Uzi?
naona mawe yashampata ndiyo tatizo la vibaraka wa Lumumba wana anzisha hoja alafu wanachemka kuielezea kwa umakini yehodaya njoo jibu maswali ya watu hapa siyo yanakutoka mapuvu asubuhi asubuhi kama umekula upolo usio pashwa
 
Mleta mada sidhani kama ulifikiria kwanza kabla ya kuandika hiyo post. Lissu alipo unga mkono hoja na kuifafanua vizuri ile hoja ya zitto juu ya serikali kukiuka sheria katika kuwasilisha mpango wa maendeleo wa miaka mitano kiasi ya kwamba mbobevu mwengine wa sheria ambaye ni mwenyekiti wa bunge aliyekuwa anongoza hicho kikao kukiri kuwa serekali imekosea tena na kumuamuru CAG arakebishe then unahoji unguli wa lissu?
 
Jiongeze mkuu,tafiti kabla ya kujidhalilisha kwa uropokaji
Mkuu kunbuka, never ... With a . people might not notice the difference
Utashusha hadhi yako bure
Hata wewe huna independent mind
1+1 jibu lake sio 2 kwa mtu mwenye independent mind kama mimi.Ukipanda mbegu moja ya mhindi kwenye shimo moja ikaota vizuri ikakua kitakachopatikana hapo kama jawabu (mavuno) ni mahindi yenye punje kibao sio mbili wala hiyo tatu uliyoandika wewe.Na wewe ni wale wale waliokariri hesabu za shule huna independent mind.Independent mind tupo CCM.Huwezi kukuta independent mind UKAWA.
Hivi wewe kwa nini unapenda kujivua nguo na kubong'oa hadharani? Unajua watu wanaona nini kutoka kwako?
Au hujisikii vibaya kujivunjia heshina kwa hilo? Haiwezekani kila siku mada za kijinga au zilizokosa utafiti ziwe zinatoka kwako tuu nawe hushtuki!
 
Angekuwa mwanasheria nguli anayejali sheria asingekubali Lowasa awe mgombea uraisi kwenye chama chake sababu alitolewa kwa azimio la bunge ambamo hata yeye alikuwemo.Kumpa Lowasa ugombea ilikuwa ni dharau kwa bunge lililomwona Lowasa fisadi.
Na hilo nalo ni suala la kisheria?
 
Angekuwa mwanasheria nguli anayejali sheria asingekubali Lowasa awe mgombea uraisi kwenye chama chake sababu alitolewa kwa azimio la bunge ambamo hata yeye alikuwemo.Kumpa Lowasa ugombea ilikuwa ni dharau kwa bunge lililomwona Lowasa fisadi.
Sasa Lowasa anatatizo gani mbona CCM walimchagua kuwa PM na alikuwa mjumbe wa NEC hadi alipohama. Au akiondoka CCM ndo hafai?
 
Petro, uwe unachagua watu wa kujibizana nao. mimi kuna watu kama Singidadodoma, faizafox, lizaboni I never discuss their postings because they are devoid of reasoning! Wameshaambiwa nini wasema hawana independent mind. Mtu anaambiwa na wakubwa zake kuwa 1+1=3 (katika normal mathematics) naye alibeba hivyo hivyo kama dodoki. Mtu kama huyo usijisumbue kujibizana naye maana you will never learn anything from him
Chuakachara,

Umesahau na hawa wapika pumba wengine..., Anaeli na Wakudadavua...?!
Haya na uliowataja hapo ni madebe matupu..
 
Nimeskia kwamba lissu ana cheti cha mirembe.
Kichaa anayeweza ku qoute vifungu vya sheria,kichaa anayeweza kuwanyamazisha watu kwa hoja huyu ni kichaa bora kuliko wabunge wa CCM wenye akili timamu lakini wanaokubali kila kitu cha serikali na kusahau kilochowapeleka bungeni.
 
Angekuwa mwanasheria nguli anayejali sheria asingekubali Lowasa awe mgombea uraisi kwenye chama chake sababu alitolewa kwa azimio la bunge ambamo hata yeye alikuwemo.Kumpa Lowasa ugombea ilikuwa ni dharau kwa bunge lililomwona Lowasa fisadi.
CCM bado kimbunga cha Lowassa kinawatesa, Mtasubiri Sana na bado.
 
Kuna watu wanamwita Tundu LISSu mwanasheria nguli na wakili wa mfano naomba niulize alishawahi kushinda kesi zipi za maana.
Sasha unamuuliza nani,Si uende masjala za mahakama ukaulize Kesi za lisu uletewe ma file za lisu.
Ifikie hatua tutumie brain badala ya mucus kuuliza maswali?
 
Kwanza,kesi yake mwenyewe ya uchaguzi jimbo la Singida Mashariki.Pili,kesi ya uchaguzi ya Lema,Mahakama ya Rufani. Tatu,kesi ya Lwakatare. Najua umeiba comment ya mtu mahali na kuanzisha mada. Vijana wa CCM mko shallow hadi mnatia huruma
weka ushahidi. Tunasubiri ahadi yake ya kujivua ubunge baada ya kushindwa kesi ya Kufulila.
 
Angekuwa mwanasheria nguli anayejali sheria asingekubali Lowasa awe mgombea uraisi kwenye chama chake sababu alitolewa kwa azimio la bunge ambamo hata yeye alikuwemo.Kumpa Lowasa ugombea ilikuwa ni dharau kwa bunge lililomwona Lowasa fisadi.
Lowassa alifisadi kiasi gani cha pesa?
 
Back
Top Bottom