Tundu Lissu akamilisha taratibu za kugombea urais wa TLS

Afadhali hichi chama kwa sasa kinatia aibu.hakina mdomo huku kikiona katiba na haki za raia zikivunjwa
 
Duh, katimiza vigezo na kuandika barua mwenyewe? Au bado sijaelewa!
 
Anafaa ikiwa ataamua kuachana na Siasa na Ubunge wake lakini kama bado atakuwa mwanaisiasa na Mbunge nahisi hatofaa unajua ukiwa Kiongozi wa Taasisi kama TLS hutakiwi uegemee kwenye mambo ya Siasa unatakiwa usifungamane na Chama chochote cha Siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…