Tunatotolesha vifaranga vya kuku wa kienyeji

MASOKO

Senior Member
Mar 9, 2011
121
17
Habari wana jamvi
natotolesha vifaranga vya kuku wa kienyeji kwa order bei ya kifaranga kimoja ni tsh 1500.karibuni sana nipo sinza dar.Pia kama una mayai yako tunatotolesha kwa sh 10000 kwa trey.
mawasiliano zaidi piga simu namba 0762342300 or whatsup number 0762342300.
karibuni sana.
 
Ok, huduma hiyo nitaipataje iwapo niko Mwanza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…