mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,752
Habari wadau, kwa ka uzoefu kadogo nilikonako naona kwenye usaili kuna baadhi ya vitu vinapelekea usiitwe au uitwe ili kuja kukupima uelewa wako, kuna baadhi ya mambo ya kuzingatia kwenye kuomba kazi pia kwenye usaili, unaweza ukawa unakosa kazi au unataka kubadirisha kazi ukaanza kumtafuta mchawi wako ni nani
KUOMBA KAZI
Kuandika email ya maombi ni shida kwa watu wengi, wengi hawafahamu kwenye subject waandike nini, pia message yenyewe iweje.
Eg: Subject: Application for Experience sales and Marketing Officer or related possition, subject kama hii ni kwa kazi unayoomba ila haijatangazwa
Message: Dear Sir/Madam
Kindly consider my appliaction
Best Regards
Karimu Kauzu
Subject: Application of the possition Sales Executive, kwa kazi iliyotangazwa
Message: Dear Sir/Madam, please find the attached copy of cv for the application of the possition Sales Executive,
Best regards
Maua Flowers
hii kwa kazi iliyotangazwa
Kingine zingatia sana vigezo vinavotolewa kwenye tangazo la kazi, usiombe tu kazi kisa huna kazi
Eg: Experience 3years wewe huna hata 1 month unataka uombe kwa kutegemea miujiza, Big NO
INTERVIEW
Ni vema ukauliza watu namna intavyuu zinavofanyika, kama ni Oral au Written, tactics za interview pia aina ya kampuni iliokwita bidhaa inayouza, inabidi ufanye research yakutosha pia mazoezi ya lugha fanya sana.
Jiandae mapema, fika kwa wakati kwenye chumba cha usaili, kufika kwa wakati inaweza kuwa interview tosha kukupitisha, yale mambo ya kuvaa earphone, kutafuna Big g Achana nayo,
KWA WALIO MAKAZINI
Kwa ufupi,
Jitahidi sana uijue Excell, jinsi ya kuandika email, jaribu kurelate kazi unayofanya na hiyo uliyoitiwa usaili inaendana vipi, jipange ni strategy zipi utakuwa nazo ukipewa kazi, ni kiasi gani unahitaji, uko tayari kuafanya kazi kwenye mazingira gani,
Naomba kuwasilisha japo kwa Ufupi kutokana na Muda.
Ahsante.