Tunaomba kutangaziwa mapato ya TRA mwezi Disemba 2016 tafadhali

Ukitembelea tovuti ya TRA utayakuta hadi november, Nadhani kwa dec bado hawajaweka
 
Tanzania &,!)Zimbabwe go the same style/model /direction so towards same destination
 
Kulikuwa na kawaida ya kututangazia mapato ya kila mwezi kutoka kwa TRA, walikuwa wanafanya kazi nzuri sana na kuonyesha uwazi.. nawapongeza sana
Ila kwa mwezi Novemba hawakutangaza na sijui kwa nini, mwezi Disemba umeshapita naomba tutangaziwe mapato yake pia ili kuendeleza uwazi ulianzishwa na wananchi kujua nchi yao inavyoendelea
Kaka NUcky Thompson kuombaa haya makusanyo mara mia moja uombe kuuona mzoga wa faru john au kumpata alipo BEN
 
Yale ulikuwa unatangaziwa yalikuwa madeni.Kumbuka wadaiwa washalipa.Sasa baada ya kukusanya madeni.Makusanyo yakeshuka mno.Wataanzia wapi kutangaza?Si unakumbuka walivyokuwa wanatangaza kwa mbwembwe?Mbwembwe zote sasa kwishinei,Imebaki blaa blaa tu.
 
kweli kaka tuligeuza debits kuwa collected revenue
sasa tunakoelekea tunakwenda kuanzsha TPRA Traffic police Revenue authority Mungu akipenda labda mwezi feb tunapeleka muswada maana hakuna namna yani chalii mlalo wa mende
 
Kulikuwa na kawaida ya kututangazia mapato ya kila mwezi kutoka kwa TRA, walikuwa wanafanya kazi nzuri sana na kuonyesha uwazi.. nawapongeza sana
Ila kwa mwezi Novemba hawakutangaza na sijui kwa nini, mwezi Disemba umeshapita naomba tutangaziwe mapato yake pia ili kuendeleza uwazi ulianzishwa na wananchi kujua nchi yao inavyoendelea
Vuta Subira tupo jikoni tunatayarisha taarifa ya uwongo itakayompendezesha Mtukufu malaika. Wewe hujui kwamba tukitangaza mapato halisi vitumbua vyetu vitatiwa mchanga eboo!
 
nimejaribu kufuata ushauri wa kusoma website ya TRA.
Taarifa za kina zipo hadi september 2016.
naomba wataalamu wa kuichambua hio mnisaidie maana ya 'Less:VAT Minning' naona ina significant drop kwa sept na kusave hela nyingi kiasi. maana yake ni nini?
ni kitu gani kimefanyika?
samahani kwa kuhama kidogo kwenye mada mama.
 
Kulikuwa na kawaida ya kututangazia mapato ya kila mwezi kutoka kwa TRA, walikuwa wanafanya kazi nzuri sana na kuonyesha uwazi.. nawapongeza sana
Ila kwa mwezi Novemba hawakutangaza na sijui kwa nini, mwezi Disemba umeshapita naomba tutangaziwe mapato yake pia ili kuendeleza uwazi ulianzishwa na wananchi kujua nchi yao inavyoendelea
Mtangaza mapato yaweza kuwa yupo likizo ama amepelekwa kitenge kingine,tutajulishwa tu.
 
Kulikuwa na kawaida ya kututangazia mapato ya kila mwezi kutoka kwa TRA, walikuwa wanafanya kazi nzuri sana na kuonyesha uwazi.. nawapongeza sana
Ila kwa mwezi Novemba hawakutangaza na sijui kwa nini, mwezi Disemba umeshapita naomba tutangaziwe mapato yake pia ili kuendeleza uwazi ulianzishwa na wananchi kujua nchi yao inavyoendelea
Nchi itatikisika , aibu !
 
Tangu ulivyoanza kutangaziwa mwaka jana umefanya nini na hizo taarifa, au ndio unatoa justfication kwa boss wako ili aendelee kukupa hela ya bundle?
 
Back
Top Bottom