Tuna Design logo, Business card, Websites, Apps Bei sawa na bure

Resha Mchanga

Member
Aug 24, 2017
98
48
Jipatie Huduma ya Web Design/ Blog & domain names sawa na Bure kama .com, .net, .org, .co.tz , .ac.tz, kwa Tsh 30,000/ year kwa mwaka mzima.

Pia tuna tunatoa huduma ya web hosting package kuanzia Tsh 3000/ month up tu Tsh 32,000/ year.

kazihost.jpeg

Huduma nyingine ni Bulk SMS Service, Facebook Campains/ Ads, Social Media Management, Digital Advertisements, Logo + Branding + Print Design, Technical Support, Email + SMS Marketing, Online TV + Radio installation and broadcasting, 2D & 3D animation banners.

Pia kwa wale wanaohitaji kumiliki website & Blog hatujawaacha nyuma wasiliana nasi kwa gharama nafuu sana. Tunatengeneza nakudesign website za aina tofauti ikiwemo. Dynamic & Statistic Websites. Like: WordPress, Joomla, Forums like Jamii Forums, Online Marketing & Store like kupana and Jumia, Online video streaming like YouTube. Pia na Web hosting Store.

Pia tunatengeneza Android Apps na kuipublish kweny play store kwa bei poa. Kwa ushauri kuhusiana na huduma hizo tutakusaidia.. Bure kabisa. Asanteni

EMAIL: support@kazihost.net
PHONE: 0783249260

ocean media.jpeg
 
Domain na hosting bei gani each
Domain tunauza kwa gharama ya Tsh 30,000/= Hosting tunapackage za aina nne. Tunauza kulingana na mahitaji yamteja kuna ya 3,000. 6,000. 9,500. 15,000.
NOTE: Domain gharama iyo ni kwa mwaka. Hosting gharama hizo ni kwa kila mwezi.
Karibu ujipatie huduma
 
Sawa so domain kwa mwaka ni 30000 na domain nikichukua ya 3000 kwa mwaka ni 36000 so jumla inakuwa 96,000.
Hapo labour charge ni 100,400?
 
Habarini za Jumapili, Huduma zetu bado zinaendelea. wasiliana nasi sasa kwa namba 0783249260. Karibuni
 
Kutengenezea online store kama jumia kiasi gani

Pia kudesign video kwaajili ya facebook ads shingapi
Karibu mkuu, Tunadevelop Ecommerce website kuanzia Tsh 400,000/= kulingana na mahitaji ya mteja.
Pia huduma za Graphics tunaanzia 30,000/= unaweza wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kwa namba zetu hapo juu.
 
Mbona gharama sana?? 400,000/= je kama ninawebsite nataka muiweke iwe professional itagharimu kias gani, ninachohitaji ni proffesional advice
 
Back
Top Bottom