johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,208
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa maarufu kama Wabunge wa Shujaa
Ni Wabunge hawa wa Tanganyika Akina Aida Kenani wa Chadema Ndio walienda hadi Dubai kuangalia uwezo wa mnunuzi
Ikumbukwe Bandari siyo ya Muungano hivyo hakuna namna yoyote wazanzibar wangeweza kuiuza
Jussa wa ACT wazalendo alisema " Zanzibar hatuhusiki kwa lolote na mambo ya Bandari za Tanganyika, Watanganyika Pambaneni na hali zenu"
Fatma Karume amesema " Bunge la JMT lina Wabunge 50 wa Zanzibar na Wabunge Zaidi ya 250 wa Tanganyika hivyo maamuzi yao yanaweza kuiathiri Zanzibar"
Anachosema Karume ni kwamba nguvu ya Bunge iko mikononi mwa Tanganyika
Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Bandari mmeuza wenyewe 🐼
Jumaa Mubarak 😃😃