Tumenusurika kuingiliwa na wezi

Ila hii taarifa kama ni ya kweli haikufaa kukaa kwenye hili jukwaa la chit chat
Pole sana
 
kwahiyo hao wezi hawakuwa na shida ya kuingia ndani bali walitaka kuiba kupitia dirishani?
Hataivyo nimeshaishi sana na wezi, mida au nyakati wanazopendelea sana kuiba ni nyakati za mvua, alfajiri wakati wengine wakiswali, vipindi vya sikukuu na mara chache jioni.(hii yote inamaana yake).
Vilevile wezi huwa hawaibi kwenye nyumba yenye mtoto mchanga.
Kwasababu ya usumbufu wa mtoto muda wowote watu wanaweza kuwa macho?
 
Jamani hivi manati za kizungu gharama yake ipo vipi na taratibu gani za kufuata ili uipate
Rahisi tu kama ukifuata taratibu za kisheria, utaeleza mali unazomiliki mpaka kuitaka hiyo manati ya kizungu, jiandae kupimwa akili, ukifuzu hapo unachukua hah hah
 
Pole sana mkuu!, vipi unapolala huwa unavaa nguo yeyote ya kusitiri mwili?? Au ndio ulianza kutafuta mahali ulipoiweka nguo.....?. Pole sana lakini
 
Duuh, kumbe zipo za bei chee namna hiyo?
Ni bastola za risasi kumi process ziko openly na ukienda dukani pale wizara ya ulinzi wanakupokea vizuri Sana unachagua silaha unayotaka then unalipia kabsa halafu unapewa risiti na fomu ambayo utakuja nayo unapokaa kwenye kamati ya ulinzi na usalama watakupitishia na kutoa mapendekezo yao, ukishapata kibali utarud nacho tena kule dukani kuonyesha Kama umekubaliwa utapatiwa silaha yako Kama hukupata kibali utarudishiwa hela yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom