Tulishiriki tendo na akaingia period, leo ana mimba. Inawezekanaje?

Atakuwa alitumia morning after pill, aidha yeye alikudanganya juu ya mzunguko wake akatumia hio dawa akijua itasawazisha kesi kumbe haikufaa ilibounce...
Huwaga wanapata bleed flani after a few days regardless ya mimba kutunga au laa, hapo jiandae kulea tu blaza mzigo wako huo!
 
wataalam wengi huwa wanashindwa kuelewa baadhi ya maumbile ya wanawake kwamfano wanawake wanaoblid mara mbili kwa mwezi. hawasemi hasa tarehe zake za kushika mimba ni zipi ili azichukulie tahadhari. Lakini wanaishia kushauri wanawake wanaingia blid marambili kwa mwezi karibu kila siku kwake ni za hatari ikiwemo zile za blid pia. Kwasababu wakati yai linakufa na kutolewa nje upande wa pili wa ovari nayo inafyatua yai na inaanza kusafiri. Mkikutana wakati wa blid au siku moja au mbili kabla ya blid mbegu zitaendelea kusaka yai hata kwa saa 48 hadi zitakapokutana na kutunga mimba. Hapo Ndo kizaazaa unamaliza kublid baada ya wiki 3-4 unaona km dalili za mimba. Kwa wanawake wa Aina hii tahadhari ni muhimu sana. Hiyo mimba ni yako usiikimbie
 
naunganana na mdau, mbegu za kiume zinauwezo wa kupita kwenye damu kwenda kwenye ovary, kama kuna yai lingine lipo tayari fertilization inawezekana, so kaka kaa na mwenzio muongee vizuri kuhusu hilo, usikimbilie sana kuamini kua alikuchit, be positive uchunguze kama kuna viashiria vya udanganyifu
 
Una umri gani na umesoma mpaka darasa la ngapi?? Nauliza umri kwa kuwa huenda tunasema na mtoto asiyestahili hata kufundwa mambo haya.
Kukusaidia tu, mwanamke huteremsha mayai 2. Moja likiwahi nyumba ya uzazi, lile jingine hurudi taratibu. Ila kuna wakati yote yaweza ingia pamoja pale chumbani na yakapata mbegu yote. Lakini kuna wakati moja linanasa na mwenzake akakosa. likasahau kurudi likawiva na kupasuka likatoka nje MP. Sasa lile jingine likaendelea kukua na kuwa mimba.
All in all, hiyo mimba yaweza kabisa 98% kuwa ni yako. Kwa nini uanze kutokumwamini mwenzio? A good man is stable no matter what comes. Ulimpenda alipotoa pichu, mpende sasa japo kashiba maharage. Kama si yako, lelea hiyo, ikitoka baadaye uweke yako. Acha kumdhalilisha mtoto wa watu.
sio kudhalilisha ila nikutaka ufafanuzi juu ya swala hili. asante.
 
Acha kutoka povu, jiandae kwa majukumu...au ulikuwa hujajipanga eee??
mambo haya hayahitaji kujipanga kama unavyo dhani. ila ninaomba ufafanuzi juu hilo swala inawezekanaje?
 
Jamaa sasa hivi kakatika hewani! Yupo kwenye mikakati kabambe ya kumshawishi demu akachoropoe mimba! Naona kichanga kisicho kuwa na hatia kikiuwawa kikatili
hapana mkuu, hakiwezi tokea kitu kama hicho.
 
Hiyo inawezekana iliwahi nikuta pia.. Japo huyo demu alichoropoa mimba!!
 
Atakuwa alitumia morning after pill, aidha yeye alikudanganya juu ya mzunguko wake akatumia hio dawa akijua itasawazisha kesi kumbe haikufaa ilibounce...
Huwaga wanapata bleed flani after a few days regardless ya mimba kutunga au laa, hapo jiandae kulea tu blaza mzigo wako huo!
hapana hakutumia morning pills, na calendar yake ilikuwa inafahamika vizuri tu.
 
wataalam wengi huwa wanashindwa kuelewa baadhi ya maumbile ya wanawake kwamfano wanawake wanaoblid mara mbili kwa mwezi. hawasemi hasa tarehe zake za kushika mimba ni zipi ili azichukulie tahadhari. Lakini wanaishia kushauri wanawake wanaingia blid marambili kwa mwezi karibu kila siku kwake ni za hatari ikiwemo zile za blid pia. Kwasababu wakati yai linakufa na kutolewa nje upande wa pili wa ovari nayo inafyatua yai na inaanza kusafiri. Mkikutana wakati wa blid au siku moja au mbili kabla ya blid mbegu zitaendelea kusaka yai hata kwa saa 48 hadi zitakapokutana na kutunga mimba. Hapo Ndo kizaazaa unamaliza kublid baada ya wiki 3-4 unaona km dalili za mimba. Kwa wanawake wa Aina hii tahadhari ni muhimu sana. Hiyo mimba ni yako usiikimbie
huwa anapata period mara moja kwa mwezi ambayo ni siku 28.
 
Kwa usawa huu wa kufunga mikanda mimba nyingi zitarukwa kuna wengine watasema it was just a blow job mimba imeingiaje mdomoni... Wananawake tujiandae kulea watoto peke yetu au tutumie kinga za kuzuia mimba na UKIMWI hali ya sasa ya fedha kupotea mimba zinakimbiwa kuliko tear gas Kama mleta uzi hajui kuna wanawake wana pata period hadi mimba inafika miezi saba huko magyno watawasema ukweli wakiulizwa.
 
Una umri gani na umesoma mpaka darasa la ngapi?? Nauliza umri kwa kuwa huenda tunasema na mtoto asiyestahili hata kufundwa mambo haya.
Kukusaidia tu, mwanamke huteremsha mayai 2. Moja likiwahi nyumba ya uzazi, lile jingine hurudi taratibu. Ila kuna wakati yote yaweza ingia pamoja pale chumbani na yakapata mbegu yote. Lakini kuna wakati moja linanasa na mwenzake akakosa. likasahau kurudi likawiva na kupasuka likatoka nje MP. Sasa lile jingine likaendelea kukua na kuwa mimba.
All in all, hiyo mimba yaweza kabisa 98% kuwa ni yako. Kwa nini uanze kutokumwamini mwenzio? A good man is stable no matter what comes. Ulimpenda alipotoa pichu, mpende sasa japo kashiba maharage. Kama si yako, lelea hiyo, ikitoka baadaye uweke yako. Acha kumdhalilisha mtoto wa watu.

Haujamjibu ipasavyo, na kama scenario yako ya kutoa mayai mawili ingekuwa ndivyo ilivyo basi kungekuw na prevalence kubwa sana ya mapacha (fraternal). Kimsingi yai linatoka moja, na ovaries zinapevusha mayai kwa kubadilishana. Kuna wakati inaweza kutokea kila ovary ikapevusha yai na hapo yanaweza kushuka mawili na uwezekano mkubwa ni kutunga mimba mapacha.

Kwa suala lake, kwanza atueleze, kama baada ya tendo la ndoa mpenzi wake aliingia hedhi tarehe ngapi mwezi huo wa nne na baada ya hapo amemiss periods ngapi? Maana kama ilikuwa April, tunategemea sometime in May arudi hedhi, na June pia arudi hedhi (normally). kwa hiyo kama amemiss hedhi ya June, na ya May alipata, then mimba ilitungwa at least one week baada ya hedhi ya May, so kama hawakukutana May inawezekana mdada alikutana na mtu mwingine. Mbona haya yanaweza kutokea? Kuna rafiki yangu 'aliuziwa' mimba ambaye kwa mahesabu ya lini walikutana mara ya mwisho na mpenzi wake, mtoto alipaswa kuzaliwa njiti wa miezi saba, cha ajabu alizaliwa full term. Jamaa alishashtuka akamwambia ampeleke kwa Baba yake wa kweli.

Ila hapa tuna-speculate tu maana hatujui mambo ambayo walifanya wahusika, labda tupate details zaidi.
 
Back
Top Bottom