Kuelekea 2025 Tulishaandika humu kwamba Tulia Ackson hana ushawishi Mbeya bila Wasanii, Ona sasa anaponza Watoto wa watu wanapigwa Mawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,782
239,459
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
 
Bahati nzuri hutashuhudia hayo sababu utakuwa umeshajinyonga kwa kero nyingi za kutoka kwa wananchi wanaojitambua
harafu eti watu kama nyiee ndoo mpewe nchi. hii itakuwa akili au matope? unamrushiaje mtu mawe jukwaani? kama aliyoyasema jukwaani yanakukera bora uondoke nasio huo ujinga!
 
Tunawajua waliofanya hivyo ni wewe ukishirikiana na "mmawia".
Ila kwenye maandamano mkamuacha mbowe aandamane peke yake.
 
Ashukuriwe magu, huyu Mazaa pita mbeya yotee hawamkubali kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…