Acha kumshusha Magufuli wetu wewe hivi kweli Magufuli ajisumbue na nyie wa hapa mchangani Hahaha Magufuli anapambana na wakina George Bush na mawaziri wakubwa wa Canada na US kwenye Barrick yao nyie hamumpi homa
Una taarifa tofauti?mita za mafuta huko bandalini ziko sawasawa?
makusanyo ya kodi kwa matrilioni bado vilevile
nimeuliza tu
hamna sehem inayotumia nguvu nyingi kama akiliNguvu katika kufanya nini?
Urais hautaki nguvu, unataka akili.
Kama ujui jua kwamba George W Bush ni mwanahisa mkubwa Barrick.Hahahahhahahahaha ati Joji Bushi labda unamsema yule wa Lumumba
Mara pap 2025, tunaisomaa..cha maana no tv live, no siasa....list ni ndefu na tulifikir ni nguvu za soda lkn mmmhhhhh hiyo soda muda wooote haiishi nguvu mkuuSasa mnamsifia kwa kipi alichofanya? Mnaweza mkataja kitu cha maana alichofanya mpaka sasa? Anafanya kazi na Media tu, anatafuta Kiki kuliko msanii...viwanda viko wapi? Mil 50 zetu ziko wapi? Uzuri mmoja muda ni rafiki....Mara paaap, 2020 hii hapa
Uajua mkuu,wale waliosema efforts za Magufuli ni nguvu ya soda walikuwa wanajipa moyo.Walijua Carbon dioxide isipoisha, wamekwisha.Kwa bahati mbaya kwao CO2 imekuwa replanished na wanaisoma namba kweli kweli.Pole zao.Tulisema hata Mwinyi alianza hivyo, tukajipa matumaini kuwa hata Mkapa pia alikuja hivyo hivyo kwa nguvu za soda na askari wake wa miamvuli, hatukuishia hapo matumaini yakazidi tukadai hata Kikwetu pia alikuja na Nguvu mpya Ari mpya lakini wote hawakumaliza mwaka mambo yakarudi kuwa yale yale. Sitaki kuwachosha wale tulioamini kuwa nguvu za Magufuli ni za soda tu na ataachia, je, ni kweli hizo nguvu za soda zimeisha au ndo kwanza zimezidi wanabodi?
Tulisema hata Mwinyi alianza hivyo, tukajipa matumaini kuwa hata Mkapa pia alikuja hivyo hivyo kwa nguvu za soda na askari wake wa miamvuli, hatukuishia hapo matumaini yakazidi tukadai hata Kikwetu pia alikuja na Nguvu mpya Ari mpya lakini wote hawakumaliza mwaka mambo yakarudi kuwa yale yale. Sitaki kuwachosha wale tulioamini kuwa nguvu za Magufuli ni za soda tu na ataachia, je, ni kweli hizo nguvu za soda zimeisha au ndo kwanza zimezidi wanabodi?
Acha kumshusha Magufuli wetu wewe hivi kweli Magufuli ajisumbue na nyie wa hapa mchangani Hahaha Magufuli anapambana na wakina George Bush na mawaziri wakubwa wa Canada na US kwenye Barrick yao nyie hamumpi homa
Nikweli alipambana na Barrick na tukakosa NOAH zetu tukaambulia Balimi 7 tu!!!!!!Acha kumshusha Magufuli wetu wewe hivi kweli Magufuli ajisumbue na nyie wa hapa mchangani Hahaha Magufuli anapambana na wakina George Bush na mawaziri wakubwa wa Canada na US kwenye Barrick yao nyie hamumpi homa