Tukumbushane

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,051
5,094
Habari za weekend wakuu, embu tukumbushane wale mademu maarufu mtaani kwenu ulipokulia( kijijini au mjini) waliokuwa saidia masela
Mimi namkumbuka demu mmoja alieitwa Kituui yaani huyu vijana karibia wote waliobalehe pale kitaa ndipo walipoanzia kujifunzia tamu ya papuchi, alikua mzuri kweli, mweupe pee na mpole, mimi nlimtangulia darasa moja, aisee aligawa uroda akiwa bint mdogo sanaaaa. Jambo la ajabu nae kapata mume na kaolewa yaani ndio nikajua kila mwanamke possibly ana mwanaume wake tatizo muda tu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…