Entareyehirungu JF-Expert Member Oct 27, 2006 488 471 Dec 27, 2015 #1 Kujiunga nasi tumia WebX: Session number: 959 376 029 Session password: 1234 Ukipata shida ya kujiunga wasiliana nasi kupitia ekimasha at jamiiforums.com
Kujiunga nasi tumia WebX: Session number: 959 376 029 Session password: 1234 Ukipata shida ya kujiunga wasiliana nasi kupitia ekimasha at jamiiforums.com
Lancashire JF-Expert Member Sep 20, 2014 14,057 10,365 Dec 27, 2015 #2 Live kupitia channel gani? Hizo namba ulizotaja hapo sijaelewa nikijiunga nitakuwa live kupitia nini? Ufafanuzi tafadhali
Live kupitia channel gani? Hizo namba ulizotaja hapo sijaelewa nikijiunga nitakuwa live kupitia nini? Ufafanuzi tafadhali
Gilbert A Massawe JF-Expert Member May 14, 2015 4,912 3,991 Dec 27, 2015 #3 Lwakatare naona anatafuta za kula
P politiki JF-Expert Member Sep 2, 2010 2,376 1,507 Dec 27, 2015 #5 KAKA Kimasha vipi uchaguzi wa meya wa Bukoba umeisha !! nani meya na nani naibu meya nawatakieni mkutani mwema na lwakatare pia naona ameanza vizuri kwa kuleta michango kutoka wana bukoba wote hii ni muhimu kwa maendeleo ya bukoba
KAKA Kimasha vipi uchaguzi wa meya wa Bukoba umeisha !! nani meya na nani naibu meya nawatakieni mkutani mwema na lwakatare pia naona ameanza vizuri kwa kuleta michango kutoka wana bukoba wote hii ni muhimu kwa maendeleo ya bukoba
J John W. Mlacha JF-Expert Member Oct 4, 2007 3,504 1,341 Dec 27, 2015 #7 Bukanga said: WebX ndio nini? Click to expand... Kaka hata google huijui?
Entareyehirungu JF-Expert Member Oct 27, 2006 488 471 Dec 27, 2015 Thread starter #8 Meya ni Mustahiki Chief Karumuna,Diwani wa Kahororo
P Papa1 JF-Expert Member Apr 21, 2012 2,017 2,210 Dec 27, 2015 #9 Ericus Kimasha said: Meya ni Mustahiki Chief Karumuna,Diwani wa Kahororo Click to expand... Naibu?
L laki si pesa. JF-Expert Member Jul 14, 2015 10,003 9,750 Dec 27, 2015 #10 ngojea tumuone bilionea ruge atachangia sh. Ngapi....
Deshmo JF-Expert Member Dec 20, 2012 4,818 4,261 Dec 27, 2015 #11 moshi vijijini said: Lwakatare naona anatafuta za kula Click to expand... Mbunge anakosa za kula? Labda d@d@ ko hapo shiv@
moshi vijijini said: Lwakatare naona anatafuta za kula Click to expand... Mbunge anakosa za kula? Labda d@d@ ko hapo shiv@